Mkuu wa nchi kwa cheo chako cha urais nakusalimia kwa lugha ya kwetu kamwene bela unogage? ...najua umenielewa si uliwahi kuishi Iringa wakati unasoma?
Mheshimiwa napenda kuuliza tu utakuja lini kwetu maana kwa jiografia ya drs la 4 huku sio nje ya nchi au jamhuri.
Nakuona kila mara unapiga kanda ya kati ,kaskazini na kanda ya ziwa yes i know home sweet home lakini mh.tangu uingie Ikulu ni zaidi ya mwaka sasa hujawahi kutia timu yako huku kanda ya nyanda za juu kusini IRINGA NA MBEYA, nini tatizo mkuu?