UTEUZI: Rais Magufuli amteua Dkt. Mndolwa kuwa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta Tanzania(TPB)

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta Tanzania (TPB)
IMG_20180423_073114.jpg
 
Naona sasa hivi umekuwa mtindo kutokusema mteule alikua nani kabla ya utezi. Sijajua ni bahati mbaya au makusudi lakini ilianzia kwa uteuzi wa aina yake uliotoa mtu Dar hadi Tabora.

Mndolwa kama sikosei amewahi kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi KCB Tanzania. Tunamtakia mafanikio kwa nafasi yake.
 
Apige kazi sasa,wale wakinamama wa benki hiyo wawaachie vijana hizo kazi wameshindwa kukeep up na pace
 
Itapendeza kama Humphrey Polepole atachukua nafasi ya uenyekiti jumuiya ya wazazi ili Mndolwa aweze kutekeleza majukumu yake vizuri.
 
Naona sasa hivi umekuwa mtindo kutokusema mteule alikua nani kabla ya utezi. Sijajua ni bahati mbaya au makusudi lakini ilianzia kwa uteuzi wa aina yake uliotoa mtu Dar hadi Tabora.

Mndolwa kama sikosei amewahi kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi KCB Tanzania. Tunamtakia mafanikio kwa nafasi yake.
Ni kwa makusudi kabisa maana huko kwenye nyadhifa zao za nyuma walishafanya madudu, hivyo kuutangazia umma ni kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe
 
Hongera dokta Mndolwa
Huyu Edmund Mdolwa PhD yake aliipatia wapi? Najua ana executive masters ya Mzumbe University ila PhD naomba kujua alisoma chuo gani? Maana wakati anapata Masters alikuwa anafanya kazi water price house coopers if my spellings are right. Hiyo PhD aliidomea wapi? Au ya online?
 
Magufuli anahaha...kaona watanzania tutazifata hukohuko TPB bilioni 1500 zetu, sasa ni mwendo wa replacement tuuu. Hii nchi kumbe bado imara, mpaka rais akiiba anahaha hivi!!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom