Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,667
- 1,642
Kwan nan mkubwa kuizidi serikali?Unajua hii bihashara c ya watu wadogo, ndo maana serikali haiwez kuzuia
Kwan nan mkubwa kuizidi serikali?Unajua hii bihashara c ya watu wadogo, ndo maana serikali haiwez kuzuia
Wanaambiwa nzuri inatia mzuka"baby onja",akionja hatoki tena naeHaya kwa wanaume ndiyo hivyo. Na kwa KE inakuwaje hadi washawishike kubwia hadi kufikia cheo cha mateja. Tupatie uzoefu wako kwa hao pia.
wakati wa mkapa nakumbuka kuna shehena kubwa ya dawa iliteketezwa kwenye tanuru la kampuni ya saruji DSM (nadhani lilikuwa tanuru la twiga cement)P naomba nikuulize kaswali kadogo na kamsingi na secondari toooka uzaliwe ulikuwa ukisoma na kushuhudia kwenye vyombo vya habari serikali ikiteketeza bangi, sijui bunduki lakini niambie nilini na wapi uliwahi soma au kushuhudia madawa ya kulevya yakiteketezwa? Nimejiwazia kwa sauti
Hiyo ya mwanzo alishaanza kubwia bwimbwi pia, ila hii nyingine tayari ameshakuwa dereva.Mbona daz baba wa zamani na mpya hapo kwenye picha hana tofauti...moja kaoga nyingine hajaoga
Hivi kwa nini kila zigo la tatizo tunamtwisha rais? au kwa vile ni msukuma????Kinachowatokea vijana wetu hususani wasanii waliothirika na utumiaji wa dawa za kulevya kinaumiza sana.
Tunaomba Mheshimiwa Raisi wetu tusaidie swala la madawa. Yamekuwa ni shida sasa.
Wasaanii wameharibika wote. Tukiwatumia hawa ni rahisi kutujulisha wanaoingiza na wanaowapa/wauzia.
Mungu awatie nguvu kwenye hii vita ya madawa.
View attachment 455028