Mh. Rais kumuacha Makonda aendeleze ubabe wake kutakigawa chama asubuhi peupe!

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,613
12,270
Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja. Wakati fulan palikuwa na tajir na masikin yule tajir hakumjali masikin ikafika mahali akawa anakula makombo sikumoja wote wakafa tajir moton masikin peponi. Akiwa moton tajiri akamuomba Mungu arudi dunia kuwakanya ndugu zake wasije kwenda huko motoni. Mungu akamwambia hata akienda hawawez badilika na pia kule dunian wapo mitume na manabii wasipo wasikiliza hao hata yeye hawezi.
Mkuu wangu baada ya huo utenz nikwambie tu Makonda mpumzishe kama ilivyo shauriwa na kama hao uwaamini basi juwa mikononi mwako chama kitakufia. Mimi ndivyo nionavyo maana huku mtaani hata zile simu zakusaidia watu hazina views wengi kama mambo anafanya Makonda yani tu wala sio kwa uzuri ila ni ubaya juz wema kuhama chama watu wote waliamia huko yani wala watu hawakufuwatilii kama mwanzo chuki nikubwa kwa chama, wewe na huyo kijana sasa tunaenda wapi Je utakubali kumlinda Makonda wakati utawala wako ukiporomoka au umuondoe watu wawe na imani nawe kumbuka umewatumbuwa wengi kwa ushaid wa kimazingira je huyu vipi? Hapo ndipo tunasema nazi imepata mkunaji. Hatuwez kwenda hivi mkuu na usichukue rahisi kabisa hali ni mbaya sana. Mh Rais mimi masikini najuwa unanguvu zote ila as long as nilikutetea humu mtandaoni usiku na mchana Sitokubali kuwa mnafiki kwa kile anafanya Makonda at the same time mamlaka zinamlinda na kama usipo wasikiliza washauri wako najuwa mimi hutonisikia ila mwisho sio mzuri na kiukweli nasikia kulia.
 
Hata akimtoa makonda ni kazi bure, heshima yake huku mtaani ipo kiwango cha chini sana
 
Tatizo mnatumia nguvu nyingi kumwongelea Makonda na kusahau hoja za msingi....
 
Hivi hamna issue nyingine za kuongea zaidi ya makonda? It is too much now. Na bora ameamua kunyamaza tujijibu wenyewe.
 
Weye nawe...unamshtua wa nn sasa aaargh!!

Huo ndo upande aliouchagua "kunyooshea" nchi,kwa hiyo anaamini yote anayotenda bwan' Makonda ni sahihi kabisa.

Usimuamshe sasa.
 
Back
Top Bottom