Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,206
- 42,067
- Thread starter
- #81
Na nilitegemea Mh Rais alete hoja za kisayansi ku prove kuwa chanjo zilizo kuja hazifai kama alivyo fanya kwenye vifaa vya kupimia Corona nilitegemea angetumia njia hiyo hiyo kwenye chanjo.... lakini tujiulize watu wanaokwenda kupima Corona wakitaka kusafiri wale wahudumu wetu pale maabara kuu wanatumia vifaa gani kam sio hivyo hivyo vya wazungu ambao wana lalamikiwa? kama tuliweza kujiridhisha kwwenye vifaa fulani ni vizima kwanini tusijiridhishe kwenye chanjo pia kuliko kuzikataa bila sababu za msingi hasa za kisayansi? Katika ili Rais amekosea sana na amefeli kabisa..... kwenye hili la chanjo anatakiwa kuwathibitishia watu kiuwa ni mbaya na si kusema tuuUnakataa chanjo cha corona kwa hisia za chuki huku unapokea chanjo ya za watoto ya ndui,polio,nk,unapokea condoms,ARV,maziwa ya kopo,dawa za tb ipi tunazalisha