Mh Rais Kikwete kauli zako zina utata

UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI KUTOKA KWA MAKABURU, UNAWEZA KUFANANISHWA NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR, UKOMBOZI WA MSUMBIJI, ANGOLA, ZIMBABWE, KENYA, NA UHURU WA TANGANYIKA ENZI ZA MWALIMU, JAPOKUWA SURA ZA MAPAMBANO ZINATOFAUTIANA. TAWALA HURU ZA NCHI ZA AFRIKA HIVI SASA HAZIGOMBEI UHURU. HIYO YA MANDELA NI HISTORIA ILIYOJENGA MSINGI WA SASA.TAWALA ZA SASA ZIJENGE KUTOKA MSINGI HUO WA UKOMBOZI(uHURU). UPUNGUFU KATIKA UONGOZI WA SASA NDANI YA NCHI HURU NI WATU/WAZAWA WENYEWE !! HATUNA KABURU, SULTANI, WALA MKOLONI.TUJISAHIHISHE!!
 
mimi pamoja na kuwa mnazi wa CADEMA JK nampenda kwa tabia yake ya kurusu tutukanane na kumtukana yeye kwenye mitandao bila kutusumbua. Mapungufu yake mengine ni seemu ya maisa ya binadamu.

Mbona unaandika vitu havieleweki..unakimbizwa au
 
Akiongea katika maadhimisho ya siku ya uhuru amemsifia mzee Mandela bila kukumbuka yanayofanyika kwenye serikali yake. Ambayo amesema yafuatayo.
1.Mzee Mandela aliwapigania watu wake dhidi ya serikali ya kibaguzi iliyokuwa akiongozwa na Makaburu.
2.Mzee Mandela alipoona kutafuta haki na usawa kwa njia ya AMANI ilibidi aanzishe chama cha siasa yaani ANC
3.Akiwa ndani ya ANC na kuona watawala bado hawako tayari kutenda HAKI ilibidi azunguke nchi mbalimbali kwa lengo la kuanzisha JESHI.
4.Lakini kabla ya kuanza kulitumia jeshi alikamatwa na kufungwa gerezani.
5.Amesema mzee Mandela alipokuja Tanzania alilala kwa mama Nsilo Swai na kusahau viatu vyake kwa mama Nsilo Swai.
Mh rais ameona mabaya ya makaburu na kumuona mzee Mandela alikuwa sahihi wakati rais Kikwete anajua dhuluma zinazofanywa na serikali yake kwa kukikandamiza Chadema na hata Chadema inapoona HAKI inashindikana kupatikana kwa njia ya AMANI na zaidi ya yote kutumia vyombo vya dola kuvuruga mikutano ya Chadema iliamua kutangaza kuanzisha makambi ya ukakamavu kwa vijana wa Chadema kwa lengo la kulinda mikutano na viongozi, wanachama na wasiokuwa wanachama bado serikali ya mh Kikwete ilileta ubabe katika swala hili.

Sasa serikali hii ya CCM inatofautianaje na serikali ya makaburu wa Afrika ya kusini?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kuwa muelewa basi sio kuropokwa tu,unasema serikali inakandamiza chadema wakati chadema yenyewe inajikandamiza wenyewe,haijitambui kazi uroho wa madarka tu,mwambieni mboe aache kukiua chama,anakula pesa sana za chama nyinyi huko nje fujo tu hamjui kitu,anataka atawale milele kwa asitawale asiekuwa wa kilimanjaro kisa eti chama cha mkwe wake mtei,jibadilisheni kwanza nyinyi ndipo na wa nje wakuheshimuni,chama cha ukabila na udini tu.
 
mimi pamoja na kuwa mnazi wa CADEMA JK nampenda kwa tabia yake ya kurusu tutukanane na kumtukana yeye kwenye mitandao bila kutusumbua. Mapungufu yake mengine ni seemu ya maisa ya binadamu.

Asiporuhusu atashindwa kuongoza nchi maaa anamakosa ya kufikiri mengi, acheni WATz wapumue kwa njia hiyo
 
Akiongea katika maadhimisho ya siku ya uhuru amemsifia mzee Mandela bila kukumbuka yanayofanyika kwenye serikali yake. Ambayo amesema yafuatayo.
1.Mzee Mandela aliwapigania watu wake dhidi ya serikali ya kibaguzi iliyokuwa akiongozwa na Makaburu.
2.Mzee Mandela alipoona kutafuta haki na usawa kwa njia ya AMANI ilibidi aanzishe chama cha siasa yaani ANC
3.Akiwa ndani ya ANC na kuona watawala bado hawako tayari kutenda HAKI ilibidi azunguke nchi mbalimbali kwa lengo la kuanzisha JESHI.
4.Lakini kabla ya kuanza kulitumia jeshi alikamatwa na kufungwa gerezani.
5.Amesema mzee Mandela alipokuja Tanzania alilala kwa mama Nsilo Swai na kusahau viatu vyake kwa mama Nsilo Swai.
Mh rais ameona mabaya ya makaburu na kumuona mzee Mandela alikuwa sahihi wakati rais Kikwete anajua dhuluma zinazofanywa na serikali yake kwa kukikandamiza Chadema na hata Chadema inapoona HAKI inashindikana kupatikana kwa njia ya AMANI na zaidi ya yote kutumia vyombo vya dola kuvuruga mikutano ya Chadema iliamua kutangaza kuanzisha makambi ya ukakamavu kwa vijana wa Chadema kwa lengo la kulinda mikutano na viongozi, wanachama na wasiokuwa wanachama bado serikali ya mh Kikwete ilileta ubabe katika swala hili.

Sasa serikali hii ya CCM inatofautianaje na serikali ya makaburu wa Afrika ya kusini?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Wewe ni Mandela?
 
...if you can read between the lines, JK anaogopa CDM mkishika dola mtalipiza kisasi... Hivi huyo Nswilo Swai ni kabila gani? kwanini mandela alifikia nyumbani kwake?

Kama humjui Nsilo Swai basi usizungumzie siasa ya Tanzania. hujui lolote. Hata historia ya nchi yako hukujifundisha. Tafuta jembe ndugu litakufaa sana kuliko hii taabu ya siasa
 
So serikali ya jk ni sawa na makaburu iliyomfunga madiba? Hata kama hatumkubali jk na utendaji wake hapo hapana. Chadema tuweke akiba ya maneno na tuyanene yale mema na yaliyo na maana. Dk.alikua anawasema vibaya polisi,jana wamemlinda.
 
Kama humjui Nsilo Swai basi usizungumzie siasa ya Tanzania. hujui lolote. Hata historia ya nchi yako hukujifundisha. Tafuta jembe ndugu litakufaa sana kuliko hii taabu ya siasa

Mkuu tupo hapa kueleweshana so,ungemjibu tu kuliko kutoa maneno ya karaha kama haya maana na ni vyema kujifunza kuliko kujua kila kitu. Maana sio wote waliozaliwa miaka ya Giza.
 
Kama humjui Nsilo Swai basi usizungumzie siasa ya Tanzania. hujui lolote. Hata historia ya nchi yako hukujifundisha. Tafuta jembe ndugu litakufaa sana kuliko hii taabu ya siasa
Acha kukurupuka Mkirindi! wenzako wanawananga Wachagga as if hawana mchango wowote katka taifa hili! Unafikiri kwanini walimuua Imran Kombe?...watendaji wakweli wenye msimamo walizaliwa uchaggani! Marealle aliingia mkataba ambao mpaka leo malkia anatoa fungu kwenda kwa mangi siyo hiyo mikataba ya CCM ya sasa ambayo hata bibi yangu ambaye hajakanyaga shule hawezi kuikubali...
 
makundi ndani ya chama chake hasa kambi ya Lowassa yenye nguvu zaidi
hakuna ubishi watateuliwa kugombania urais ingawa hawatashinda.
JK ameshaogopa CCM kutokurudi madarakani alikuwa kama anatoa wosi kwa chadema wasilipize kisasi

Yap!Ulimsoma vyema,aomba wasamehewe kama alivyofanya Mandela dhidi ya makaburu.Ccm kwishney.i
 
Akiwahutubia wananchi katika sherehe za miaka 52 ya uhuru wa Tanzania bara, kikwete pamoja na kutoa kauli nyingi za kejeli kimafumbo pia kaonyesha wasi wasi wa roho za kulipa kisasi miongoni mwa watu watakaoweza kupata fursa fulani.
My take:
je mheshimiwa ana wasi wasi gani na visasi? au ndo kwanza anaanza kujisalimisha ukilinganisha yanayofanywa na serikali yake na upepo wa kisiasa kwa sasa?
Nawasilisha.

Na huyu atakoma akimaliza urais....yaaani watu wanasubiri amalize tu muda wake
 
Akiongea katika maadhimisho ya siku ya uhuru amemsifia mzee Mandela bila kukumbuka yanayofanyika kwenye serikali yake. Ambayo amesema yafuatayo.
1.Mzee Mandela aliwapigania watu wake dhidi ya serikali ya kibaguzi iliyokuwa akiongozwa na Makaburu.
2.Mzee Mandela alipoona kutafuta haki na usawa kwa njia ya AMANI ilibidi aanzishe chama cha siasa yaani ANC
3.Akiwa ndani ya ANC na kuona watawala bado hawako tayari kutenda HAKI ilibidi azunguke nchi mbalimbali kwa lengo la kuanzisha JESHI.
4.Lakini kabla ya kuanza kulitumia jeshi alikamatwa na kufungwa gerezani.
5.Amesema mzee Mandela alipokuja Tanzania alilala kwa mama Nsilo Swai na kusahau viatu vyake kwa mama Nsilo Swai.
Mh rais ameona mabaya ya makaburu na kumuona mzee Mandela alikuwa sahihi wakati rais Kikwete anajua dhuluma zinazofanywa na serikali yake kwa kukikandamiza Chadema na hata Chadema inapoona HAKI inashindikana kupatikana kwa njia ya AMANI na zaidi ya yote kutumia vyombo vya dola kuvuruga mikutano ya Chadema iliamua kutangaza kuanzisha makambi ya ukakamavu kwa vijana wa Chadema kwa lengo la kulinda mikutano na viongozi, wanachama na wasiokuwa wanachama bado serikali ya mh Kikwete ilileta ubabe katika swala hili.

Sasa serikali hii ya CCM inatofautianaje na serikali ya makaburu wa Afrika ya kusini?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Nafikiri Kikwete hajui historia ya ANC na Mandela. Mandela sio muanzilishi wa ANC na wala hakuwa anazunguka kuanzisha makambi. Mandela ameikuta ANC.

Nadhani huyu mtu kama amesema hayo na niya kweli basi uongo wake umepitiliza kiwango.

Katika historia ya Tanzania hakuna Kiongozi muongo kama Kikwete
 
...if you can read between the lines, JK anaogopa CDM mkishika dola mtalipiza kisasi... Hivi huyo Nswilo Swai ni kabila gani? kwanini mandela alifikia nyumbani kwake?
Unauliza makofi polisi? Wachaga ni wakarimu na wanaharakati tangu zamani.
 
Back
Top Bottom