Mh. Rais Kikwete Akiwa Ziarani Jamaica: Picha ya kukumbukwa!

Hata hili la mavazi nalo lishakuwa issue! Kweli tumeishiwa ya kujadili sasa
 
11_09_hmaerh.jpg

President Jakaya Kikwete and his wife, Salma Kikwete and Minister for Tourism in Jamaica, Mr Edmund Bartlett (right) and Chairman of the Mystic mountains conservation, Mr Horace Clarke, touring the hills facing the tourist attractions in St. Ann region, in Jamaica.
Jamani with all due respect washauri wa first lady when it comes to dress code yake hapa wamechemsha....au walikuwa hawajui ratiba yake kwa hiyo siku? hehehe...hilo vazi la kitenge na tukio vitu viwili tofauti.......
 
Hizo bembea zina usalama gani kwa Rais wetu? kwa mfano akitembelea Obama au Medvedev au Brown au Rais mwingine wa mataifa makubwa (yenye nguvu) watampandisha kwenye hizo bembea? kwanini wasingetumia helkopta?

Thubutu!!! Umpandishe Obama kwenye bembea 'kizembezembe' kama hivyo, sidhani kama anaweza kuruhusiwa na jamaa wa usalama!!
 
Sasa wakianguka itakuwaje? maana hakuna mlinzi, lakini haya mabembea hata huku si yapo?
 
Acha ainjoy-maana mda wenyewe unayoyoma.Ila mama lazima awe na washauri wa mavazi-vitenge everywhere is not good!!
 
Binafsi sijapendezwa na tukio hili. mkuu wa nchi alikuwa kwenye state visit na si vacation. Wenzetu wajamaica wamefanya tukio hili kibiashara zaidi, muungwana atakuja kutuambia nini??

Mbona Ngorongoro na Serengeti anaenda mara kwa mara hatujaona Ikulu iki realese picha za muungwana angalau kushawishi utalii wa ndani na nje. Pale Serengeti kuna Serengeti balloon ni kivutio kizuri pengine kuliko hata hayo mabembea, mbona hatujaona mkuu akichukua initiatives za kupiga picha pale na kuutangaza utalii wetu??

Kwa mara nyingine kodi yangu imetumika vibaya (irresponsibly) achilia mbali kuombwa ridhaa yangu!!
 
Yah man! akirudi bongo na dope/cha Arusha bin Tarime atakuwa anapuliza kwa sana tu hahaha
 
Binafsi sijapendezwa na tukio hili. mkuu wa nchi alikuwa kwenye state visit na si vacation. Wenzetu wajamaica wamefanya tukio hili kibiashara zaidi, muungwana atakuja kutuambia nini??

Mbona Ngorongoro na Serengeti anaenda mara kwa mara hatujaona Ikulu iki realese picha za muungwana angalau kushawishi utalii wa ndani na nje. Pale Serengeti kuna Serengeti balloon ni kivutio kizuri pengine kuliko hata hayo mabembea, mbona hatujaona mkuu akichukua initiatives za kupiga picha pale na kuutangaza utalii wetu??

Kwa mara nyingine kodi yangu imetumika vibaya (irresponsibly) achilia mbali kuombwa ridhaa yangu!!

Uko sahihi kabisa. Nadhani watu wa protokali wamekosea sana ku-release hii picha kwenye press. Haina umuhimu wowote kwa taifa. Angeonekana kwenye baloon serengeti ingekuwa bora zaidi kuliko hii. Nawalaumu sana watu wa protokali na idara ya mawasiliano.
Hili inanikimbusha ziara ya Edward Lowasa (wakati huo akiwa Waziri Mkuu) alipotembelea Australia. Ilitolewa picha akikagua shamba la kabichi la mkulima mmoja huko. Hii ilionyesha umuhimu wa kilimo bora.
Lakini hii mmmmmmmmmmmmmmmmmm.
 
11_09_hmaerh.jpg

President Jakaya Kikwete and his wife, Salma Kikwete and Minister for Tourism in Jamaica, Mr Edmund Bartlett (right) and Chairman of the Mystic mountains conservation, Mr Horace Clarke, touring the hills facing the tourist attractions in St. Ann region, in Jamaica.
Inakuwaje rais anaenda kubembea wakati nchi hata umeme haina!
 
Sasa wakianguka itakuwaje? maana hakuna mlinzi, lakini haya mabembea hata huku si yapo?
yeye aanguke tu, labda tutapata unafuu wa kupata rais mwingine mapema na kutusave another shameful 5years
 
Mama nae mara moja moja avae casual kama Michelle wa Obama, japo simaanishi kakaptula, bali simple, loose and free, jamani hata kutalii na kitenge!.

Inaelekea hana washauri wazuri wa mavazi! Hata hivyo ukitizama hiyo picha, utadhani huo utalii haukuwa kwenye ratiba! Walivyovaa haiendani na shughuli yenyewe. Angalia viatu vyao, utadhani wanaenda ofisini bwana!
 
Hivi nini hasa kilichompeleka huko? kutalii ama kuombaomba kama alivyozoea? Hakuna kazi rahisi duniani kama ya uraisi wa tanzania. Walahi nakuambia.
 
"Tourist Of The Year" what can I say!

For the first lady, "Swimming suit" could have been more appropriate. That's just my opinion.
 
Tusimsakame 'Mama wa Kwanza' bila shaka alipovaa hakujua kwamba kuna kupandishwa kwenye bembea. Hata hivyo amekuwa akilipa heshima taifa letu na pia kuwapa heshima wanawake wote kutokana na mavazi ya heshima anayopenda kuvaa. Rais Kikwete ni wa aina yake siwezi kupiga picha Mwalimu, Mzee Mwinyi, Mkapa wanakubali kupandishwa kwenye bembea! Wala sikutegemea kwamba Walinzi wake wangeweza kumuachia afanye hivyo!
....jamani tofautisheni kumsakama na positive criticism!!!!aaargh u make me so angry...always on the defensive. Wengi waliochangia kuhusu mavazi ya mama wala hawajasema baya ila there are appropriate clothes for every occasion unless kama nilivyosema awali this event was a spur of the moment thing and she was not aware. Hapo we cannot say anything, ila kama alijua wangepanda bembea for her own comfortability, loose clothing would have been appropriate....loose slacks with a casaul yet elegant blouse would have done just fine!!!!...
 
1.Unaweza ukawa mnene na bado ukavaa casually na ukapendeza tu.Ulimwengu wa mitindo ni mpana sana.

2.Urais kama vyeo vingine hupewi tu kwa sababu unapenda kuwa rais,bali UNAPEWA.Hivyo hoja ya kuchagua mke mzuri/portable kama maandalizi ya kuwa rais haina mashiko.Mlimpa urais Muungwana, kwa sababu mlijua ana-deserve kwa evaluation criteria za wakati ule.

Wayne.
Nadhani hujanielewa tafadhali soma btn lines.Kama umenielewa huo ni mtazamo wangu na hii ya kwano ni mtazamo wako.Hatuwezi kufanana kimtazamo_Ok!
 
Back
Top Bottom