Mh.Rais kama Mataka ameshitakiwa G.S.Chawene anatakiwa awe Segerea on spot

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,668
30,556
SIONI KWANINI SERIKALI ISIWE SERIOUS AIJALISHI MLIBEBA CHAKA LILILOPITA LEO HII YAKAJIBU HASARA ZA WALIZOINGIZIA TAIFA

DAVID MATAKA ANAFIKISHWA MAHAKAMAN SABABU YA KUKIUKA MASHARTI YA UNUNUZI NAKUINGIZIA TAIFA HASARA BILLIONS KADHAA


LEO HII TUNAE WAZIRI WA TAMISEMI AMBAE SERIKALI ILIOPITA ALIIFANTA KILE KILE ALICHOFQNYA DAVID MATAKA KWA KUPINDISHA MASHARTI YA UNUNUZI

HUYUU ALIINGIZIA TAIFA HASARA BILLONS 44:pAMOJA NA KWAMBA ALISHAURIWA NA EWURA KWAKUWA WANAJUA WALICHOKUWA WAMEPANGA ALIKUBALI KUIDHINISHA


SASA KAMA MATAKA AMEWEKWA NDANI KWA HIZO SMALL BILLIONS HUYUU JAMAA ANGETAKIWA AWE SEGEREA SASAHIVI MH RAIS HASA KWAUONGOZI KAMA WAKO ULIOTUKUKUKA
 
Weka ushahidi mkuu au fafanua vizuri kilichotokea ili tutoe michango yenye afya
 
SIONI KWANINI SERIKALI ISIWE SERIOUS AIJALISHI MLIBEBA CHAKA LILILOPITA LEO HII YAKAJIBU HASARA ZA WALIZOINGIZIA TAIFA

DAVID MATAKA ANAFIKISHWA MAHAKAMAN SABABU YA KUKIUKA MASHARTI YA UNUNUZI NAKUINGIZIA TAIFA HASARA BILLIONS KADHAA


LEO HII TUNAE WAZIRI WA TAMISEMI AMBAE SERIKALI ILIOPITA ALIIFANTA KILE KILE ALICHOFQNYA DAVID MATAKA KWA KUPINDISHA MASHARTI YA UNUNUZI

HUYUU ALIINGIZIA TAIFA HASARA BILLONS 44:pAMOJA NA KWAMBA ALISHAURIWA NA EWURA KWAKUWA WANAJUA WALICHOKUWA WAMEPANGA ALIKUBALI KUIDHINISHA


SASA KAMA MATAKA AMEWEKWA NDANI KWA HIZO SMALL BILLIONS HUYUU JAMAA ANGETAKIWA AWE SEGEREA SASAHIVI MH RAIS HASA KWAUONGOZI KAMA WAKO ULIOTUKUKUKA

Unayoongea ni mhimu sana... Lakini uwe unapitia uzi wako kabla ya kuuposti, maana makosa ni mengi kuliko.
 
Back
Top Bottom