Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Ndugu zangu Hapa arusha kuna wazalishaji wa bidhaa wengi sana kwa kutumia umeme hasa sisi wazalishaji wa Bidhaa za karanga na Mafutaya alizeti. lakini Arusha umeme unakatika saa 2 Asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni. Na hili tatizo ni la lina miaka miwili sasa na ukiuliza unaambia hakuna mgao ni matengenezo tu.
Arafu unashangaa Manispaa wanakuja wanakuomba Lesini. Tena leseni yenyewe ni zaidi ya laki 5, Hujalipa kodi ya biashara hujalipa wafanyakazi, Hujalipia LUKU, . Tunatamani kupiga Mangeu sisi Maaana wanakuja na bashasha wanakukuta unamawazo chungu nzima. Biashara ipo wateja wapo lakini hakuna bidhaa.
Mheshimiwa hebu toa kauli leo umeme uwake Maana Tunateseka sana