Mh RAIS JK ANDAA MAANDAMANO YA NCHI NZIMA KUULAANI KITENDO CHA POLISI KUVUNJA KATIBA

mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
22,631
8,417
Ili kuonyesha Dunia kwamba utawala wako unafuata sheria, bila shaka yeyote na una lengo la maridhiano ya kitaifa; Na kilicho tokea Arusha wewe huhusiki bali ni wahuni wachache Waliofanya hayo bila ridhaa yako. Basi fanya haya yafuatayo utavuna Heshima na utakumbukwa na vizazi vijavyo;
1-Waite wadau wote wakiwemo wanasiasa pamoja na mambo mengine na hatma ya nchi yetu, mjadili pia kilicho jiri Arusha hadi wananchi wakapoteza maisha yao adimu Kisha mfikie maridhiano na muanze upya!
2-Waadhibu wote walio husika na kadhia hiyo kwa mujibu wa sheria ya nchi
3-Andaa maandamano nchi nzima siku hiyo ya maandamano mshikane mikono wanasiasa wote! na Dunia ione ili kulaani matukio yote yaliyo jiri Arusha na ya kabla yake mf, pemba m/chai na wahanga wote walio poteza maisha kwa sababu za KIFISADI
4-Andaa/tangaza tarehe ya kuanza mkutano wa katiba mpya ili wananchi wapate katiba yenye ridhaa yao!
Kweli ni dawa lakini ni chungu maana MBINGU NA NCHI ZITAFURAHI Waswahili husema KICHUNGU HUONJWA IMA USIPOJENGA UFA UTAJENGA NYUMBA!
 
Mhhh weee mchokozi kweli, nani wa kuyafanya hayo???? Chini ya ushauri wa Katibu mkuu wa CCMizi!!!!!!!!!!!!!!!!! Katu hilo halipo. Ndio maana jana ukaona imeandaliwa zinga la party wakati watu wakiwa wanaomboleza na wengine wangali na Risasi miilini hazijatolewa hadi jioni hii!!!!
 
Ngumu kujichoma kisu mwenyewe!! Alichofanya ni hadaa & jiriba na si dhamira ya moyoni mwake!
 
Mhhh weee mchokozi kweli, nani wa kuyafanya hayo???? Chini ya ushauri wa Katibu mkuu wa CCMizi!!!!!!!!!!!!!!!!! Katu hilo halipo. Ndio maana jana ukaona imeandaliwa zinga la party wakati watu wakiwa wanaomboleza na wengine wangali na Risasi miilini hazijatolewa hadi jioni hii!!!!

Hata Mungu alipo Iangamiza Sodoma na Gomora nao walikuwa wakifurahi kama wao waliupuuza ushauri wakaangamia tumuombe Mungu atunusuru na dhahama maana naliona sikio la KUFA!
 
Ili kuonyesha Dunia kwamba utawala wako unafuata sheria, bila shaka yeyote na una lengo la maridhiano ya kitaifa; Na kilicho tokea Arusha wewe huhusiki bali ni wahuni wachache Waliofanya hayo bila ridhaa yako. Basi fanya haya yafuatayo utavuna Heshima na utakumbukwa na vizazi vijavyo;
1-Waite wadau wote wakiwemo wanasiasa pamoja na mambo mengine na hatma ya nchi yetu, mjadili pia kilicho jiri Arusha hadi wananchi wakapoteza maisha yao adimu Kisha mfikie maridhiano na muanze upya!
2-Waadhibu wote walio husika na kadhia hiyo kwa mujibu wa sheria ya nchi
3-Andaa maandamano nchi nzima siku hiyo ya maandamano mshikane mikono wanasiasa wote! na Dunia ione ili kulaani matukio yote yaliyo jiri Arusha na ya kabla yake mf, pemba m/chai na wahanga wote walio poteza maisha kwa sababu za KIFISADI
4-Andaa/tangaza tarehe ya kuanza mkutano wa katiba mpya ili wananchi wapate katiba yenye ridhaa yao!
Kweli ni dawa lakini ni chungu maana MBINGU NA NCHI ZITAFURAHI Waswahili husema KICHUNGU HUONJWA IMA USIPOJENGA UFA UTAJENGA NYUMBA!

Ww una matatizo mengiii, mentally i hope, & u r low profile, u never even do a research
kidogo tu, then to write something, JK ni FISADI, na anajua each & everything
& every order like thing inatoka kwake, hujui what u r saying & even thinking, dumper
dull, it means hujui hata nini kinaendelea, shut up
 
Namna pekee ya kulaani kilichotokea na kuwafuta kazi wote waliohusika na mauwaji ya raia wema akianzia na Nahodha na Mwema na sio kulazimisha serikali ya kihuni ya CCM kushikamana na wapenda demokrasia CHADEMA,CUF and Others
 
Ww una matatizo mengiii, mentally i hope, & u r low profile, u never even do a research
kidogo tu, then to write something, JK ni FISADI, na anajua each & everything
& every order like thing inatoka kwake, hujui what u r saying & even thinking, dumper
dull, it means hujui hata nini kinaendelea, shut up

Asante mwanangu ndio uwezo wangu hakuna mwanadamu wa mwili na nyama aliye kamilika wewe unaye jua tuonyeshe njia hasa kipindi hiki tunahitaji hekima yako sio jazba yako! mimi na kauwezo kangu haka hakika SITANYAMAZA DOGO!
 
Kwa hilo cdhan km atalfanya coz polic walio ua walipata agizo toka kw katib mkuu k****re, domo kaya,Makamba. Hujackia Makamba amewapongeza polic walioua?
 
Back
Top Bottom