Mh Rais Dr Prof Jakaya Kikwete kwani leo sikukuu ya uhuru amewahutubia?!

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,303
1,500
Natanguliza samahani kama amehutubia maana mimi sijaangalia tv wala kusikiliza redio.

Ok, kama amehutubia amesemaje kuhusu hela zenu za escrow?

Kama, hajawahutubia mmmmmhhhhhhh kwanini maana sio kawaida! Au afya haijaimarika?! Pole hata hivyo kwa afya! AU ANAKWEPA KUZUNGUMZIA ZILE HELA ZENU ZA TEGETA?!
 
duanzi

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
16,446
0

We Mkenya mambo ya Tanzania yanakuhusu nini kwenda zako huko kamsaidie Kenyatta kupambana na Al Shabaab
 
UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,303
1,500
Hatuwezi kuwa na utani wa jadi na Wakora wa Nairobi. Watani wenu wa jadi ni Somalia. Subiri Al Shaabab wapige Ikulu ya Kenyatta ndio mtakoma ubishi.
Tuliza mshono mtani, nataka nikupakate uzuri km wanavyokupakata wale vijana wa bavicha! teh the the teh
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,508
2,000
Wajomba huyu anaongea nini simwelewe rais wetu bado yuko kwenye mazoezi ya viungo na kuongea, escrow ina kurasa mia tano hataweza zote?
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,220
2,000
kila siku huwa nasema kikwete alipaswa kuwa afisa utamaduni kata ya Gamboshi wilaya ya Bariadi..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom