Mh Pinda na Mh Luhanjo nani mwenye mamlaka zaidi?

There is a difference between theoretical power and practical power. Theoretical powers are those listed in the constitution and practical powers are how well you use those theoretical powers and how much flexibility the person above you gives.

Fore example Luhanjo has given Jairo a leave from work with pay but Kikwete has the power to reverse that decision. So Luhanjo did what he did because theoretical his powers allowed him to but also because practically the president gave him the freedom to exercise that power. Realistically I'm sure Luhanjo took action after talking to Kikwete and he did not just take action on his own.

So again the prime minister will have more power or less power depending on the flexibility he gets from the president. If the president, who has the power to reverse the prime minister's decisions, does not give the prime minister flexibility then we will see the case of Pinda who had to wait for the president to make a choice. If you look into it you will find Lowassa seemed to have more power than Pinda has now because Lowassa was given more flexibility by the president.

This is why I always say Pinda was chosen to be prime minister because he was no threat to anyone. He was just put in place because the position needed to be filled but from the beginning I knew he wasn't going to have much teeth. As an "accidental" prime minister he can never have the guts to challenge Kikwete or do anything without his approval.
 
Mkuu sikubaliani na wewe hapo kwenye wekundu. PM hana meno juu ya Katibu Mkuu ama Waziri yeyote. Naomba kifungu tafadhali

52.-(1) Waziri Mkuu atakuwa na madaraka juu ya udhibiti,
usimamiaji, utekelezaji wa siku hata siku wa kazi na shughuli za
Serikali ya Jamhuri ya Muungan

(3) Katika utekelezaji wa madaraka yake, Waziri Mkuu
atatekeleza au kusababisha utekelezaji wa jambo lolote au
mambo yoyote ambayo Rais ataagiza kwamba yatekelezwe
 
Luhanjo yuko juu!

Pinda mwanasiasa na yuko kisiasa siasa kama wanasiasa wenzake walio wazito kutoa maamuzi ya ukweli but Luhanjo yupo kwa maslahi ya nchi.

Wakubwa zake wanamrushia tu yeye mizigo mizito ya maamuzi.
 
52.-(1) Waziri Mkuu atakuwa na madaraka juu ya udhibiti,
usimamiaji, utekelezaji wa siku hata siku wa kazi na shughuli za
Serikali ya Jamhuri ya Muungan

(3) Katika utekelezaji wa madaraka yake, Waziri Mkuu
atatekeleza au kusababisha utekelezaji wa jambo lolote au
mambo yoyote ambayo Rais ataagiza kwamba yatekelezwe

Mkuu mbona sioni meno yoyote hapo?
 
Hebu mkuu kwa kunielimisha tu naomba uniambie Waziri Mkuu ana uwezo wa kumfukuza mtumishi gani wa serikali?

kimsingi waziri mkuu alichokuwa anamaanisha ni kwamba yeye siyo mwenye mamlaka ya kumsimamisha /kumwajibisha katika maana kuwa chombo cha kumwajibisha ni kile tu chenye mamlaka ya uteuzi wa ndugu Jairo KAMA katibu mkuu na hasa ukisoma pamoja na sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2002 pamoja na kanuni yake ya mwaka 2003. kwani Pinda ni vigumu hata tu kumwajibisha mkurugenzi wa jiji/manispaa kwani sheria inatamka wazi kwamba chombo cha uteuzi kwa nafasi hiyo ni raisi/na anaweza kumkaimisha mamlaka hayo katibu mkuu kiongozi na si mwingine hasa unapozungumzia utumishi wa umma angalia swala la mgomo muhimbili wakati ule na maamuzi ya katibu mkuu kiongozi yalivyotolewa baada ya hata waziri mkuu (lowasa) kushindana nao
 
Duh mkuu umetoa ufafanuzi wa kutosha hapa. Please take my five
 
wakuu mimi namuunga mkono mchangiaji mmoja hapo. ukijiamini tu una madaraka makubwa sana.

Unakumbuka kuna mapigano ya wakulima na wafugaji yaliwahi tokea kilosa kama sijakosea. Waziri mkuu wakati huo sumaye alimwajibisha mkuu wa wilaya ya kilosa kwa kumfuta kazi na akamwagiza mkuu wa polisi mahita amfute kazi ocd. So hapa ni kujiamini tu.

Angekuwa lowas asingesubiri cha kikwete ni palepale angemsimamisha huyo jairo, ndo katiba yetu hii.

Kipindi cha sumaye aliwahi kuwafukuza kazi wakuu wa wilaya wasio pungua wawili. Na hata lowasa alifukuza kazi mkurugenzi wa halimashauri ya wilaya ya same kwa kushindwa kusimamia chakula cha msaada
 
Mkuu hao wote walikuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI. Hata Pinda si unakumbuka alivyofoka kule Bagamoyo. Suala la Katibu Mkuu ni tofauti na hao wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri.
 
Back
Top Bottom