Mh. Pinda na Mama yake TBC1

Brooklyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
1,459
284
Mh. Mizengo Pinda anaonekana TBC1 sasa hivi akiwa anaongea na mama yake mzazi kuhusu changamoto za kilimo kwanza. Mama yake anaonesha wazi wasiwasi juu ya utekelezaji na kufanikiwa kwa mpango na sera ya kilimo kwanza. Nimefurahishwa na mama mzazi wa mh. Pinda anavyoweza kuona usanii wa CCM na serikali yake katika kutatua matatizo ya wakulima wa Tanzania
 
hahaaa Pinda ananifurahisha sana na style yake ya kufanya mambo..
 
Nimefurahishwa na mama mzazi wa mh. Pinda anavyoweza kuona usanii wa CCM na serikali yake katika kutatua matatizo ya wakulima wa Tanzania

Hiyo ni TBC1 ya wapi mbona yangu yaonyesha michezo?
 
Ruta mara tu baada ya taarifa ya habari, tbc1 waliweka clip ya Pinda akitoa salamu za shukrani baada ya kuwa endorsed na bunge, ilipoisha wakaweka clip nyingine ikimuonesha Mh. Pinda akizungumza na mama yake kijijini kwao huku wakiwa wemekaa kwenye mkeka chini!
 
Hiyo ndiyo staili ya ccm kuwalaghai watu kwamba ipo karibu na wazee. Hata jk hizo ndizo zake. Si mnakumbuka kwenye baadhi ya mabango yao ya uchaguzi anapojifanya amekaa na bibi kizee fulani eti anaongea nae. Hivyo, ndivyo nchi inavyoendeshwa kiusaniisanii tu. Mambo serious tunayachukulia rahisi rahisi tu. Sijui tutaendelea na hizi porojo mpaka lini!!
 
Km Mh.Pinda atakuwa muumini wa maneneo yake yote yanawezekana. na km ataikunja sura yake kwa mafisadi na kuacha kuwachekea au kuwalilia pia inawezekana. Bila ya hivyo ni usanii wa sisiemu tu.
 
mama mwenyewe anaponda sana sera ya kilimo kwana na power tiller za JK, sasa kama Pinda nyumbai kwa mamam yako tu haelewi, watanzani wengine itakuwaje?
 
Kila nikimwangalia Mh. Pinda naona hafanani kabisa na kina Lowassa, Rostam, JK, Chenge, Mramba, masha na wengineo! Jamaa anaonekana yuko very considerate, sema yuko katikati ya system mbovu!
 
Back
Top Bottom