MH. PINDA kuanzisha kituo cha kulelea albino arusha karibu na Merereni; watapona?

mkibunga

Senior Member
Nov 17, 2010
196
25
Hili la waziri mkuu kutaka kuanzisha kituo cha kulelea albino arusha mji hatari wenye wachimba madini watoa kafara je hao watoto watapona kweli au ni ile anzisha kiwanda penye urahisi wa kupata malighafi jamani mnalionaje hili
 
Back
Top Bottom