Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII...POWER kumaliza hotuba yake

Weka Audio na sisi tusikilize kama alikuja kwenye ziara ya serikali CCM hoyee ilitoka wapi? na Pipooooz power ilitoka wapi?

Bado sijakuelewa labda nisikilize mimi mwenyewe audio.
Soma kwa sauti ya Pinda nukuu iliyotolewa hapa, kisha ndio itakua AUDIO yenyewe unayoitaka.
Then jisikilize mwenyewe!!
 
Kwa maeneo ambayo majimbo yake yanaongozwa na upinzani, Moshi, Hai, na Rombo (Kaskazini, Uchagani; kama wanavyoeneza propaganda zao) na Pemba (kwa CUF), ni sehemu tulivu zaidi kwa viongozi wa CCM na serikali yake kuhutubia wananchi kwenye majukwaa ya hadhara na wakasikilizwa vizuri kuliko Mbeya, Mwanza, Shinyanga, Musoma, na Iringa. Hii tafsiri yake ni nini? Tafakari.
 
Hapo mtoto wa mkulima kaupata ujumbe na kujua Chadema ikoje moyoni mwa watanzania wa sasa, na atatoa taarifa murua kwa magamba wenzake

Si muda mrefu utasikia magamba wakisema siku hizi 90% ya wana mwanza ni wachaga. Vinginevyo wajiandae kuwa wapinzani 2015.
 
Ngoma unapiga mwenyewe, kuimba uimbe mwenyewe na kucheza pia ucheze mwenyewe, khaa!? Chadema bana!!?
Hivi cdm mna lipi la kuwaeleza wa-tz 2015? Au ni hayo mayowe ya ukombozi wa nchi iliyo huru?
Nashawishika kukubaliana na wewe mkuu, hawa jamaa wa CDM wanarudisha nyuma harakati za maendeleo ile mbaya. Mara migomo, mara maandamano, mara siasa za kuchafua watu, kuchangisha wananchi fedha kwa kivuli cha uchanga huku wakisafisha fedha za wafadhili, nina uhakika hadi 2015, watanzania watakuwa wamekichoka hiki chama.
 
Kwa maeneo ambayo majimbo yake yanaongozwa na upinzani, Moshi, Hai, na Rombo (Kaskazini, Uchagani; kama wanavyoeneza propaganda zao) na Pemba (kwa CUF), ni sehemu tulivu zaidi kwa viongozi wa CCM na serikali yake kuhutubia wananchi kwenye majukwaa ya hadhara na wakasikilizwa vizuri kuliko Mbeya, Mwanza, Shinyanga, Musoma, na Iringa. Hii tafsiri yake ni nini? Tafakari.

CCM ni Wastaarabu na ndiyo maana wanaheshimika hata ugenini na wana sera siyo matusi wawapo majukwaani tofauti na CDM na vurugu, kukosa sera na matusi majukwaani.
 
Sasa hivi hata vijijini huko mikoani ni hayohayo ya mwanza.Watanzania si wale wa fikra za mwenyekiti zidumu,wamesomeshwa shule ya kujua haki zao za msingi ambazo wamepewa na Mungu.Wanajua utajiri wao ambao Mungu amewapa umetekwa na adui yao namba moja CCM na vibaraka vyao CUF na vyama vingine vyote vya kipuuzi.Wanajua kuwa mkombozi wao kwa sasa hivi ni CDM tu kupitia kaulimbiu yao M4C.
 
chadema imewashika pabaya sana...........
mimi nlikua nafikiri wakulu huwa hawajui msemo wa PEOPLEEZ POWER......
 
Si muda mrefu utasikia magamba wakisema siku hizi 90% ya wana mwanza ni wachaga. Vinginevyo wajiandae kuwa wapinzani 2015.

Kawaida yenu , umeona usipojitambulisha wewe ni nani, Mbowe na SLAA hawataamini kama umetekeleza kazi waliyokutuma na hivyo kibarua chako kuwa hatarini. Haya kaka wamekuona, ehe tupe mistari mingine ya kutufurahisha na siyo kutujenga.
 
CCM ni Wastaarabu na ndiyo maana wanaheshimika hata ugenini na wana sera siyo matusi wawapo majukwaani tofauti na CDM na vurugu, kukosa sera na matusi majukwaani.

Hujaelewa nilichoandika. Very poor thinker.
 
chadema imewashika pabaya sana...........
mimi nlikua nafikiri wakulu huwa hawajui msemo wa PEOPLEEZ POWER......

Mbona JF ni wataalamu sana wa kuweka audio na video kuthibitisha hayo maneno ya PM , hili mbona linakuwa gumu? uongo mwingine bwana, acha tu tupoteze muda ili siku iende.
 
hizo ni propaganda

Binafsi nimesikiliza marudio ya hotuba hiyo kupitia Metro FM leo asubuhi nikasikia jinsi hotuba hiyo ilvyokuwa inaingiliwa na vibwagizo vya Wenje Wenje mpka pm akaomba utulivu haikusaidia akaingia mkuu wa wlaya haikufua dafu akaja mkuu wa mkoa bado mambo yakawa magumu ikabidi kuikatiza hotuba kabla ya muda wake pamoja na pm kurusha madongo kwa cdm ameondoka na picha halisi kuwa Mwanza sio Dodoma
 
Hujaelewa nilichoandika. Very poor thinker.

Nilijua tu kuwa utatukana, na upeo wako mdogo wa kutafakari lazima ungekutuma niamini upuuzi wako unaoufikiria. Watanzania wenzangu mmeona hawa wanaojiita great thinkers , kumbe ni CDM thinkers, teh teh teh teh, twende tu hivi hivi hata CDM wakichukua nchi kutokana na upeo wenu mdogo wa kukubali kila jambo.
 
WAziri mkuu kuzomewa ni aibu kubwa sana, ata kama watu hawa ipendi CCm. wameshindwa pia kuheshimu umri, basi kilicho moyoni kwa watu ni kikubwa kuliko haya tunayo andika na kusikia. siku inakuja pale yale yaliyo kuwa yamefichwa yatakuwa wazi...
 
Binafsi nimesikiliza marudio ya hotuba hiyo kupitia Metro FM leo asubuhi nikasikia jinsi hotuba hiyo ilvyokuwa inaingiliwa na vibwagizo vya Wenje Wenje mpka pm akaomba utulivu haikusaidia akaingia mkuu wa wlaya haikufua dafu akaja mkuu wa mkoa bado mambo yakawa magumu ikabidi kuikatiza hotuba kabla ya muda wake pamoja na pm kurusha madongo kwa cdm ameondoka na picha halisi kuwa Mwanza sio Dodoma

Hilo linawezekana si swala tu la kuwaandaa vijana wakapige kelele ili mradi tu mdomo uende kinywani kwa siku hiyo. Hebu wekeni hiyo audio ya maneno ya PM ya peopleeez, mbona hili mnamumunya maneno, kwani kuna ugumu gani? Hakika nimeamini pwenye Ukweli, uongo hujitenga.
 
Nilijua tu kuwa utatukana, na upeo wako mdogo wa kutafakari lazima ungekutuma niamini upuuzi wako unaoufikiria. Watanzania wenzangu mmeona hawa wanaojiita great thinkers , kumbe ni CDM thinkers, teh teh teh teh, twende tu hivi hivi hata CDM wakichukua nchi kutokana na upeo wenu mdogo wa kukubali kila jambo.
tatizo si upeo wako mdogo bali ni unafki na kutetea kitu usicho kiamini ndicho kinacho kutesa. vinginevyo huna matatizo yoyote
 
WAziri mkuu kuzomewa ni aibu kubwa sana, ata kama watu hawa ipendi CCm. wameshindwa pia kuheshimu umri, basi kilicho moyoni kwa watu ni kikubwa kuliko haya tunayo andika na kusikia. siku inakuja pale yale yaliyo kuwa yamefichwa yatakuwa wazi...
Kwani mtoto akimtukana baba yake kwa sababu tu amevuta bangi, baba anaathirika nini, kama siyo toto lenyewe kuishia pabaya.
 
tatizo si upeo wako mdogo bali ni unafki na kutetea kitu usicho kiamini ndicho kinacho kutesa. vinginevyo huna matatizo yoyote
Wewe huna lolote hivyo vihela unavyopewa vinakuchanganya hadi unaamua kuleta mada ambazo hazina kichwa wala miguu. Na unawezaje kumtukana mtu ambaye ametoa maoni yake, badala ya kumpinga kwa hoja, si nidhahiri kabisa wewe upo kishabiki tu. Endelea bwana na kazi yako, najua bila hivyo huwezi kuishi.
 
Kwa maeneo ambayo majimbo yake yanaongozwa na upinzani, Moshi, Hai, na Rombo (Kaskazini, Uchagani; kama wanavyoeneza propaganda zao) na Pemba (kwa CUF), ni sehemu tulivu zaidi kwa viongozi wa CCM na serikali yake kuhutubia wananchi kwenye majukwaa ya hadhara na wakasikilizwa vizuri kuliko Mbeya, Mwanza, Shinyanga, Musoma, na Iringa. Hii tafsiri yake ni nini? Tafakari.

mkuu hebu tudadavulie vizuri nimeishughulisha akili yangu nilichokiona labda ni ni umri wa wabunge husika i.e Mbeya,Mz na Musoma zaidi ya hapo cjaambulia kitu
 
WAziri mkuu kuzomewa ni aibu kubwa sana, ata kama watu hawa ipendi CCm. wameshindwa pia kuheshimu umri, basi kilicho moyoni kwa watu ni kikubwa kuliko haya tunayo andika na kusikia. siku inakuja pale yale yaliyo kuwa yamefichwa yatakuwa wazi...

Mkuu kama ilivyo kwa PM, hata mtoto mdogo anastahili heshima regardless ya umri. Issue hapa sio "Uwaziri Mkuu" au umri wake au alichokuwa anakiongea, la hasha! Tatizo ni hicho chama anachokitumikia ambacho kimelifukarisha kabisa taifa letu. Au hujaelewa kwamba SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM?
 
Back
Top Bottom