Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII...POWER kumaliza hotuba yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII...POWER kumaliza hotuba yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ntamaholo, Sep 18, 2012.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Wadau.

  Jana hapa Mwanza, waziri mkuu alikuwa akihitimisha ziara yake mkoani Mwanza ambayo mbali na kuligarimu taifa kwa matumizi ya hela kutokana na msafara mrefu uliokuwepo, lakini umemalizika kwa fedheha kubwa kwa upande wa waziri mkuu.

  Waziri alikuwa na ratiba ya kuhutubia wananchi viwanja vya Sahara, katika kuhutubia kwake, maneno yote ya chama chake hayakupokelewa na wananchi walikusanyika kumsikiliza, ilimbidi atumie maneno ya CHADEMA kumaliza hotuba yake.

  CCM OYEE......watu kimya, PIPOZIII......power tena kwa shangwe kubwa.

  Na ilikuwa ajbu pale Wenje alipotaka kuhutubia kwani alifikishwa jukwani kwa kubebwa.
   
 2. E

  ESAM JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hapo mtoto wa mkulima kaupata ujumbe na kujua Chadema ikoje moyoni mwa watanzania wa sasa, na atatoa taarifa murua kwa magamba wenzake
   
 3. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Tunaposema kuwa MWANZA ni ngome ya CHADEMA watu wanabaki kubishia sasa oneneni bakini kujifariji Nchi inakwenda kwa CHADEMA
   
 4. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Dah chagulani namuonea huruma cdm tusamehe huyu dogo.
   
 5. M

  Mgelukila JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muda ukifika hakuna wa kuzuia kauli ya wengi ni kauli ya Mungu hata mkiua viongozi, ni kazi bure ni bora wawe wapole.
   
 6. Hansy wa East

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 445
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  hizo ni propaganda
   
 7. ntagunga

  ntagunga JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  kivipi?
   
 8. ntagunga

  ntagunga JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  kivipi?
   
 9. m

  manucho JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Katumwa akapime upepo
   
 10. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Chezea nguvu ya Umma?
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,029
  Trophy Points: 280
  ccm wanaendelea kudhani kuwa wananchi wamelala
   
 12. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Masikini Pindisha! Mmechokwa. Ile migao ya madini hayo ndo malipo
   
 13. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  CHADEMA ipo juu hadi basi!
   
 14. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa hali kama hii lazima John Tendwa atishie kukifuta Chadema. Watawala wameshashikwa pabaya na watawaliwa. Tunakoelekea ni 'mbwa kala mbwa'!
   
 15. r

  raymg JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawajatumia mabomu ya machozii
   
 16. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kumbe kuna watu humu hawajui hata maana ya propaganda. Yani hata mtu akishuhudia kitu halisi kwa macho ama masikio yake, bado anasema ni propaganda, Daaaah...!
   
 17. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanachofanya CCM ni sawa na mtu kusumbua mahakama wakati hukumu iko palepale.
   
 18. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mizengwe Pinda kiguu na njia anazunguka na mikasi mkononi,mwenge nao unazunguka wanakula kodi zetu bila huruma,hivi hawa ccm ni laana gani wanayo?hakika wana mwanza nawashukuru kwa hilo na kuonyesha yaliyo moyoni mwenu na hakika chini ya haya magamba tutashuhudia upuuzi kama huu wa ifujaji wa pesa zetu.
   
 19. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  mmeacha sema Kilimanjaro?mlikwenda pia na arusha,baadaye mbeya, baadaye sijui mtasema dar kwa vile napo wana ushawishi mnono.soon moro,bila kusahau iringa walipobidi muua mwangonja.
   
 20. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,318
  Likes Received: 1,494
  Trophy Points: 280
  Mkuu, jibu la hilo lipo wazi, hawaelewi wakikaa ofisini wafanye nini, kwasababu ofisini kuna kazi nyingi while wao hawazioni then wanajikuta hawana cha kufanya hence wanakua bored halafu wanasinzia.

  Ili kutoa usingizi bora waende safari kama hizo, baadhi ya mizigo ya safari ndo hiyo mikasi, Nina maana ya mikasi hii ya kukatia sio mikasi ile ya vijana.
   
Loading...