Mh. Philip marmo na dr mary nagu wapumulia mashine mkoa wa manyara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Philip marmo na dr mary nagu wapumulia mashine mkoa wa manyara

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MAMA B, Nov 1, 2010.

 1. M

  MAMA B Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wilaya ya mbulu ambako ndio yuko waziri marmo mpaka sasa kati ya kata 32 tayari chadema wana kata 19 mfukoni na ndio tunasubiri huko kwingine!


  Upande wa hanang ambako ndio yuko waziri nagu tayari nusu ya kata zote zimeshachukuliwa na mke wa zamani wa slaa kwa chadema ......bado kata za vijijini tunasubili matokea

  UPANDE WA RAIS TANZANIA NZIMA SIJUI KAMA JAMAA ATAKUBALI KUACHIA NCHI KAMA AKIPELEKEWA MATOKEO TOFAUTI NA ANACHOTEGEMEA...........IKULU TAMU JAMANI!

  source;wadau wa karibu walio huko
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nagu akapumzike tuu mama sound sana uyu
   
 3. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwani huyo mtu yupo chadema, si alichukuliwa na ccm!
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kama kweli wananchi wameshaamka kisiasa na kidemokrasia basi Marmo na dada yake Mary hawana budi kupumzishwa. Hawajafanya maendeleo ya maana huko, yaani majimbo yao ni mateso makubwa sana!! Wao wako mjini wanaishi maisha ya raha mustarehe ila wapiga kura hoi, yaani ukiona hizo nyumba zao hali ni mbaya, mtu unatamani banda lako la mifugo Dar ulibebe upeleke huko walale!! For how many years CCM has been into Power lakini hali ya maisha ni duni siku hadi siku?
   
 5. M

  MAMA B Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :sad:
   
 6. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Aliingia Chadema na kutambulishwa na Dr. Slaa wakati wa kampeni huko anakogombea. CCM ni history kwa sasa!!
   
 7. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Alisharudi nyumbani (CHADEMA) siku nyingi!
   
 8. m

  mpongopongo Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante endelea kutujuza upatapo habari zaidi..............................
   
Loading...