Mh.Paul Makonda atembelea Chama Cha Wanasheria (TAWLA) wanaopambana na ukatili wa kijinsia

Baba lao kwa herufi ndogo!
tapatalk_1580554635924.jpeg
 
Nashangaa wewe na hao wabunge wa ccm mnalilia fedha za MABEBERU zilizozuiwa kwa barua ya Zitto. Nilitegemea mfurahi kwasababu this cantri iz a "dona cantri"
Nakuuliza tena huwa unasoma posts zangu?
 
Soma hii ndio utaelewa kuwa Makonda anafuata nyayo za Kangi, hatakiwi.
Kituo kimetoa statement kuomba radhi kumpokea Makonda (muuaji) na kimesema kimefuta picha zote za ujaji wake. Yaani Makonda anakwepwa kama ukoma sasa hivi.
IMG_20200201_160633.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile list haitoishia pale. Most likely mtu kama Mwigulu na yeye akapigwa ban maana mambo mengi yalitokea enzi zile jamaa ni waziri wa mambo ya ndani.

Harafu mwaka huu tukibugi kidoGo tu kwenye Uchaguzi na evidence zikawepo, hawa Mabeberu watatukaanga mchana kweupe
 
Kutoka Mitandaoni:
Mh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam babalao kwa herufi ndogo ametembelea kituo cha Wanasheria Wanawake wanaojihusisha na msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto.
Makonda amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya.

My Take:
Hili ni jibu Konki sana kwa Pompeo na waliompotosha!
Huyo jumuiya ya kimataifa inamtambua kama Gaidi bado kukamatwa na kufunguliwa mashtaka
 
Kutoka Mitandaoni:
Mh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam babalao kwa herufi ndogo ametembelea kituo cha Wanasheria Wanawake wanaojihusisha na msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto.
Makonda amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya.

My Take:
Hili ni jibu Konki sana kwa Pompeo na waliompotosha!

Mmeanza lini kuwa marafiki na NGO's
 
Kutoka Mitandaoni:
Mh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam babalao kwa herufi ndogo ametembelea kituo cha Wanasheria Wanawake wanaojihusisha na msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto.
Makonda amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya.

My Take:
Hili ni jibu Konki sana kwa Pompeo na waliompotosha!
Screenshot_20200201-162735.png

Wewe unafikiri wamarekani wanaingizwa kingi kwa spinning zenu za kipumbavu hizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka Mitandaoni:
Mh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam babalao kwa herufi ndogo ametembelea kituo cha Wanasheria Wanawake wanaojihusisha na msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto.
Makonda amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya.

My Take:
Hili ni jibu Konki sana kwa Pompeo na waliompotosha!
Yes! Konki wa mauaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom