Mh.Paul Makonda anauliza hili

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Kwanza Mods naomba huu uzi ubaki hapa maana nimeona hapa ndo panafaa Kujadiliwa!

Baada ya kusema hayo nije kwenye lengo la Uzi huu,Kama siku nne hivi zimepita katika ukurasa wake wa instagram Mh Paul Makondo alipost jengo hilo hapo chini na kuandika caption hii

Jengo hili liko wilayani kwangu ila najiuliza maswali Slanderness Ratio (SR) = width/height
E.g if width =10 m Height =40 m

S/r =10/40 =1/4 =25%

Je inakidhi Eng principal
NB putting into consideration that the more the height of building the more of wind prevailing is being trapped etc.
Hii kanuni niliwahi kuisoma sehemu kwakuwa mimi si mtaalam naomba msaada wenu.

Hapo juu Mh.Paul Makonda kakiri wazi kuwa hana utaalamu ila anaomba msaada je Kutokana na hio principle hilo jengo kwa mnao lifahamu tumshauri Mh.Paul Makonda
b32101f350ecbb48ea740aa784a8b607.jpg
 
Kwa Mtazamo wangu Mh. anataka kujiridhisha kwanza kama Jengo lipo sahihi kujengwa hivyo au la ili hatua stahiliki zichukuliwie haya wale wataalamu ndo mda wenu huu wa kumshauri mheshimiwa na kwa wale wanao lifahamu hilo jengo
 
Kwanza Mods naomba huu uzi ubaki hapa maana nimeona hapa ndo panafaa Kujadiliwa!

Baada ya kusema hayo nije kwenye lengo la Uzi huu,Kama siku nne hivi zimepita katika ukurasa wake wa instagram Mh Paul Makondo alipost jengo hilo hapo chini na kuandika caption hii

Jengo hili liko wilayani kwangu ila najiuliza maswali Slanderness Ratio (SR) = width/height
E.g if width =10 m Height =40 m

S/r =10/40 =1/4 =25%

Je inakidhi Eng principal
NB putting into consideration that the more the height of building the more of wind prevailing is being trapped etc.
Hii kanuni niliwahi kuisoma sehemu kwakuwa mimi si mtaalam naomba msaada wenu.

Hapo juu Mh.Paul Makonda kakiri wazi kuwa hana utaalamu ila anaomba msaada je Kutokana na hio principle hilo jengo kwa mnao lifahamu tumshauri Mh.Paul Makonda
b32101f350ecbb48ea740aa784a8b607.jpg
jibu rahisi japo refu nitafute kesho kwa sasa natafuta mawasiliano ya jecha
 
Anashangaa hilo jengo? Aende pale posta maeneo ya bilcanas na break point kuna jengo pale limejengwa nafkir ni la pspf sijui...huyu yeye shida yake ni attention tu....kesho atatupostia mafile yake ya kazi ili tujue kama yupo very bize
 
dah naogopa kumpa kick makonda ataenda kuwaoshea wakandarasi wenzangu bhana

Anashangaa hilo jengo? Aende pale posta maeneo ya bilcanas na break point kuna jengo pale limejengwa nafkir ni la pspf sijui...huyu yeye shida yake ni attention tu....kesho atatupostia mafile yake ya kazi ili tujue kama yupo very bize
Lkn wakuu nazan kama halifai ni bora tumwai kabla halijaua
 
Ishu kwamba mkuu wa wilaya ofisi yake ina mainjinia wa kutosha na wataalam wengi tu...ambao angeweza kuwauliza sasa yeye anafanya kazi kwenye instagram. Sasa hapo kunatofauti gani kati yake na Masogange?
Mkuu masogange lkn ana mzigo( in kipozeo voice) sheikh
 
Wapinzani Mna mambo ya ajabu Kama vigagula. Hapo tumeombwa msaada Watanzania wote bila kujali Itikadi zetu ...bado mnaleta upinzani wa kijinga na kilofa. Mwisho wa siku hilo ghorofa likidondoka halitaangalia kwamba wewe ni mshabiki wa kuzungusha mikono wala mfuasi wa kuisoma namba....tutakaoathirika ni sisi na ndugu zetu. Kama unaona huna jibu au ushauri wa Swali husika pita kimya Nyamafu weee. Sio mnaanza eti sijui akaangalie wapi .....Oooh sijui amwite nani..inahusu nini kwenye mada husika!!!!????? Nyamafu nyinyi.
 
Kwani ofcn kwake hakuna mainjinia.....?....aache sifa za kijinga.......kuja kuuliza kwenye mitandao wakati wanaoweza kumsaidia anao ofisini.....Ina maana ni mambulula basi........hawana wanalolijua........
Kazi kweli kweli......
 
Unajuaje labda anataka kusikia kutoka kwa wadau mbalimbali na kupata feedback tofauti!!??? Maana Kama hao mainjinia wa ofisini kwake ndio waliohusika kutoa vibali vya Hilo ghorofa kujengwa hapo watasaidia nini!!???? Tujifunze kuwa na mtazamo chanya inapobidi. Sio kila kitu ni ushabiki wa siasa za kipumbavu.

Sifa za kijinga pengine tunazo sisi Watanzania ...maana hatuishi kujifanya wajuaji kwenye mambo ya msingi yanayotugusa wote bila kujali Itikadi na ushabiki wa vyama vya siasa.
 
Kwanza Mods naomba huu uzi ubaki hapa maana nimeona hapa ndo panafaa Kujadiliwa!

Baada ya kusema hayo nije kwenye lengo la Uzi huu,Kama siku nne hivi zimepita katika ukurasa wake wa instagram Mh Paul Makondo alipost jengo hilo hapo chini na kuandika caption hii

Jengo hili liko wilayani kwangu ila najiuliza maswali Slanderness Ratio (SR) = width/height
E.g if width =10 m Height =40 m

S/r =10/40 =1/4 =25%

Je inakidhi Eng principal
NB putting into consideration that the more the height of building the more of wind prevailing is being trapped etc.
Hii kanuni niliwahi kuisoma sehemu kwakuwa mimi si mtaalam naomba msaada wenu.

Hapo juu Mh.Paul Makonda kakiri wazi kuwa hana utaalamu ila anaomba msaada je Kutokana na hio principle hilo jengo kwa mnao lifahamu tumshauri Mh.Paul Makonda
b32101f350ecbb48ea740aa784a8b607.jpg
Cha kuulizana hapa: jengo la nani? Makonda ana access na ma engineer wengi na hiyo ni wilaya yake, sielewi kwanini asilishughulikie huko huko! Kwanini ameleta kwenye mitandao? He is very cunning.
 
Anashangaa hilo jengo? Aende pale posta maeneo ya bilcanas na break point kuna jengo pale limejengwa nafkir ni la pspf sijui...huyu yeye shida yake ni attention tu....kesho atatupostia mafile yake ya kazi ili tujue kama yupo very bize
hapana lile ni jengo jipya la rita
 
Back
Top Bottom