Mh Nape alipowasili tu Moshi Mjini alikutana na mabango, yakachanwa hadharani

Watachana vinavyooneka lakini visivyoonekana kamwe havitachanwa na vitatumika kuwaondoa madarakani 2015!
 
Yani huyo nape bora hata wangempa ukamanda wa green card awakamate hao magamba awapeleke kisutu sio kila siku anatusumbua tu na ziara zake za kujvua magamba.
 
Kila mtanzania sasa anajua Nape ni feki anatumia njia feki za kuhararisha posho za safari ananunua kadi za Chadema anasema amepokea wananchama wapya waliondoka chadema,anasomba wananchi anasema mkutano ulifanikiwa ameanza sasa kupandikiza greenguard kupambana na wananchi huyu ni hovyo kuliko Tambwe Hiza hana muda mrefu atajizika janja yake imeshajulikana
 
moshi-nape.jpg
Baada ya kuona kundi la watu wapatao 10 wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali nyingi zikewa ni kejeli kwa ccm vijana wanaitwa green brigade waliwavamia watu na kuwanyanganya mabango yao na mengine kuchanwa kama inavyoonekana kwenye picha. Sasa swali ni je ccm inajua misingi ya demokrasia? Kwa hayakuwa matusi kwanini mhe. Nape asingechukua ushauri aliopewa kupitia mabango. Kwani moja ya bango lliandikwa hivi "hatutaki story za gamba tunataka umeme " tutakaa giza mpaka lini" ccm ilikufa na nyerere
Kumbe na wewe uliyaona?hiyo inaashiri namna gani wasivyopenda ukweli!wanabaki kujifariji kwa mijikofia na mifulana tu!
 
Magamba wanakera.... muda wa taarifa ya habari ya saa mbili ITV Nimemsikia yule waziri wa viwanda na biashara Chami akikebehi kuwa anawashauri wale wote wanaoandamana kudai maisha bora waende SIDO wapate ujuzi sijui wa nn? yaani yanakera. the magamba people are always acting li bit.ches. like they dont know what time it is! wanagpi wenye ujuzi ha hawana ajira? wanagapi waliojaribu kujiajiri na wamekwamiswa na sera mbovu za hawa ma"K". Au kukosekana kwa mazingira mazuri ya kufanyia kazi? nishati yenyewe(hakuna). wadada wangapi waliokuwa wamejiajiri saluni za kike na ss kwa ajili hakuna umeme kipato chao kimeshuka sana au kimepotea kabisa? na wanashawishika kujiuza ili kuweza kukidhi haja za maisha yao ya kila siku? Nape ww na magamba wenzio ni Ma"K" tu siwapendiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
na huu si utabiri bali ni hali halisi kuwa Nape hana dira wala Mwelekeo kama chama chake cha GAMBA,hata miezi 6 haijafika kashaanza kuchuja ni mropokaji wa zao la ufisadi na mnafiki anajifanya mpigania haki za wanyonge kumbe anafikiri ya kwake. MIMI NASEMA TUKAE TUSUBIRIE HIVI KARIBUNI MWISHO WA AIBU WA NAPE
 
waziri wa viwanda na biashara Chami akikebehi kuwa anawashauri wale wote wanaoandamana kudai maisha bora waende SIDO wapate ujuzi sijui wa nn? QUOTE]

Huyu Chami kukebehi maandamano ni unafikia wa hali ya juu. Yeye mwenyewe alikuwa kiongozi wa migomo chuo kikuu Dar es Salaam na ndio waliosababisha kukawa na 'GAP' ya kusubiri mwaka mmoja ndio uingie chuo. Huyu alifukuzwa na kwa mwaka mzima. Sasa leo anatoa wapi moral authority watu wanaoandamana wakati yeye na migomo ni kama chanda na pete? ufaniki mtupu!
 
ccm siku zote ni chama kinachotumia nguvu iwe halisi ya misuli, fedha au hata hoja za nguvu, au nguvu za giza na mashetani. ngoja wajaribu kuzuia mawazo ya wananchi, watafaulu tu kama kawaida yao, ccm hoyi...
 
Lilikuwepo bango lililoandikwa TUMECHOKA NA CCJ. Hilo ndo lililoamsha jazba ya kamanda wa Green Guard akaamuru mabango yoote yachanwechanwe.
Baada ya mkutano kumalizika uongozi wa CCM wilaya ya Moshi umelalalamikiwa kuwa uliandaa mabango hayo makusudi kwa lengo la kumdhalilisha Nape
 
Nape yupo kibiashara huko ccm wakimzingua tu anarudi ccj,Hamuoni anavyoropoka ovyo majukwaani? Haogopi anajua hao cio wenzake!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom