Mh mwema tunaomba uzinzi live usiwepo kabisa kesho fiesta kule leaders | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh mwema tunaomba uzinzi live usiwepo kabisa kesho fiesta kule leaders

Discussion in 'Entertainment' started by Pdidy, Jul 29, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Pengine wengi wanachukia fiesta lakini tatizo halisi si jinsi ilivyo
  bali ni ufuska unaotokea kwenye hiyo fiesta ndugu wapendwa nakumbuka mara ya mwisho
  nilihudhuria yaani wanawake wanaenda gizani wanafanywa live tena awavai hata chupi na mbaya wanafunzi
  wa boarding wanajazana kibao kibao mwisho wa siku tunatengeneza mimba za gizana zisizojulikana na baba zao

  je hawa yatima wanaotarajiwa kesho watatunzwa na joseph ,ama ruge mutahaba??
   
Loading...