Mh. Muone Mpendazoe

Huyu sio bure atakuwa hana radhi za wazee wake mnakumbuka alikuwa Mbunge wa Segerea au Ukonga kupitia CCM akajiuzulu Ubunge aliwashtua sana CCM akaingia Chadema na sasa kaingia CCM nafikiri atakuwa Mwehu
 
Back
Top Bottom