Mh Mrema katika pozi la kutuma sms nje ya bunge!!!!!!!!!!

Mh hii kali...ina maana Mrema ni mamluki???sasa mbona kachakaa hivyo hizo hela za umamluki anapeleka wapi??maskini usikute anasingiziwa Mzee wa watu. I still admire him, ni kati ya wapinzani mahiri wasioogopa chochote.

Mkuu utasoma alama za nyakati tu...!!!!
 
kwani kutuma sms ni vibaya?wabongo acheni hizo,eti mtu akituma sms hana hela kachoka!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom