Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,899
- 4,623
Katika pilika pilika zangu hapa nchini zambia nimepishana na mtu kama mnyika. Naomba wenye taarifa nae kama ni yeye kweli yupo hapa watupe contact zake ili tuwe na masiliano nae. Ni mbunge wangu jimbo la Ubungo, hivyo kupata nafasi ya kula nae kifungua kinywa, lunch au dinner hapa ugenini ni fahari kubwa. P/se, p/se!!
.
.