Mh.Mnyika Miezi 3 hatuna maji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh.Mnyika Miezi 3 hatuna maji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ba Brio, Jul 23, 2012.

 1. B

  Ba Brio Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mheshimiwa Mnyika sisi wakazi wa Ubungo Kibo hatujapata maji tangu mwezi wa tano mpaka leo,na hakuna taarifa yeyote rasmi toka mamlaka inayohusika,hatujui nini kinachoendelea.

  Mheshimiwa uko wapi?Tunaomba utusemee.
   
 2. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S-baby: wewe UNA MATATIZO sana yaaani ccm wamekaa na jimbo la ubungo miaka zaid ya 40 mBONA HUKUSEMA IWEJE LEO KWA MNYIMA
   
 3. B

  Ba Brio Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duh, kiongozi mimi simlaumu Mnyika, nimemwomba tu atusaidie kufuatilia maana hii mamlaka imekosa uwajibikaji kabisa na bahati mbaya pa kusemea hatuna. Naamini Mh.Mnyika kwa nafasi yake anaweza kupewa majibu ya kueleweka. Maana shida kubwa ni kuwa hawa watu hata hawatoi tangazo tujue nini kinaendelea.
   
 4. oxlade

  oxlade JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 596
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  we kweli kenge, unajua kwenye kampeni mnyika alisema nini? Barabara mbovu, maji hakuna. 2015 itamhukumu
   
 5. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Kwani yeye ndiye Waziri wa MAJI
   
 6. B

  Ba Brio Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yeye siyo waziri wa maji bali ni muwakilishi na mtetezi wetu katika maswala kama haya.
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mnyika ndo anakusanya kodi za ujenzi wa barabara na maji?
  badala ya kuhukumu mliowaweka madarakani zaidi ya miaka 50 sasa hakuna walilofanya....

  anyway,
  pole sana

  huku uswahilini kwangu hatuna maji ya bomba toka enzi za nuwa mpaka dawasco, toka mwaka 1992....
  umeme ndo headache, tanesco wanakata na kuzima kadri wanavyopenda, hata mara 10 kwa siku
  hata huyo mbunge hatumuoni.....
  halafu sijui alichaguliwa na nani wallaahhhhhiii
   
 8. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ah! Mnyika anakalia kuwashwawashwa tu bungeni badala ya kusaidia jimbo! Hovyo!
   
 9. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2013
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Amewasemea, wameziba masikio.
   
 10. S

  Siku za ajabu JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2013
  Joined: Dec 23, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  Mnyika amewatetea sana wananchi kwa ishu ya maji tatizo ni naibuspika,mbabe sana kwakweli,anasema hatakama hiyo taarifa ya mnyika imepigwa mhuri haitambui,maanayake nini,wamekula pesa hawa za wachina.
   
 11. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2013
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kwan hela zinatoka kwenye mfuko wa mnyika???? Ni kweli yeye anawatetea lakini unujua mfumo wa utawala ccm????
   
 12. ligendayika

  ligendayika JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2013
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,175
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Si umeona hoja ilivyozimwa juzi wanajipanga kuwamaliza wapinzani? Maji huko subirini2014 mwishoni wapate pa kusemea ohh chezea CCM wewe
   
 13. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2013
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  jinga wewe ......kamuulize mkuundungai aliyezima hoja
   
 14. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2013
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,295
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  kwani hamuoni anavyowatetea bungeni,na hoja zinazimwa?
  ...ndo mjue kuwa hii system ni mbovu tuibadirishe
   
Loading...