Mh. Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda tuletee na Ben Saanane pia

South

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
3,514
5,139
Baada ya kutuhakikishia watanzania kuhusu msanii Roma na wenzake kwamba watapatikana kabla ya Jumatatu baada ya kupotea kwao. Kwa utaalamu na kipaji ulichonacho cha kutambua kwamba wako hai na watapatikana kabla ya jumatatu, tunaomba pia kabla ya hiyo Jumatatu utuletee/apatikane na Ben pia

South
 
Hivi waliopotea/potezwa ni wanne sio wawili?
Kwa hili tukio la juzi au?
Kama kuhusu kina Roma ni wanne
4aededc70220620883d0fc6c0f1b5728.jpg
 
Uhakika huo ni kuwa for sure, 100% anajua walipo! Kuna story hapa inakuja ndefu sana, time is ticking!
Huyu mtu bana sijui ni kutojielewa au vipi maana hakuna chombo chochote cha usalama kinaweza kuwa na uhakika na usalama wa mateka kwa kufikia hatua ya kutaja exactly day ya kupatikana kwao unless anamawasiliano na watekaji au yeye kuwa mtekaji
 
Baada ya kutuhakikishia watanzania kuhusu msanii Roma na wenzake kwamba watapatikana kabla ya Jumatatu baada ya kupotea kwao. Kwa utaalamu na kipaji ulichonacho cha kutambua kwamba wako hai na watapatikana kabla ya jumatatu, tunaomba pia kabla ya hiyo Jumatatu utuletee/apatikane na Ben pia

South
Ikiwezekana atulee na ndege ya Malysia iliyopotea maana ni kitambo
 
Ha haaaaaa. Ameteka watu kutengeneza kiki ya kuita waandishi wa habari kuaminisha umma yeye ni shujaa amefanikisha kupatikana kwao. Tumestuka na Hatutoi kiki. [HASHTAG]#Tunawataka[/HASHTAG] Roma na wenzake wakiwa hai#
 
Huyu mtu bana sijui ni kutojielewa au vipi maana hakuna chombo chochote cha usalama kinaweza kuwa na uhakika na usalama wa mateka kwa kufikia hatua ya kutaja exactly day ya kupatikana kwao unless anamawasiliano na watekaji au yeye kuwa mtekaji
Anataka kuwa shujaa kwamba kafanikisha kupatikana kwao
 
Back
Top Bottom