Tetesi: Mh mkuu wa JKT,45 wa JKT ni wizi mtupu,wameachwa wenye vigezo

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,010
8,355
Mkuu wa JKT Naandika nalia,kwa nn yatima Justine mwenye 28 amekosa nafasi?

Kiukweli jkt itabeba ndgu fulani,sio ajira kwa nn mmewaacha vijana tena kwa rushwa ya nduguruziotion?
 
Wilaya ya mleba mkoa wa kagera!
 
Mkuu wa JKT Naandika nalia,kwa nn yatima Justine mwenye 28 amekosa nafasi?

Kiukweli jkt itabeba ndgu fulani,sio ajira kwa nn mmewaacha vijana tena kwa rushwa ya nduguruziotion?
Jkt wanatoa ajira mkuu? Au ni kutoelewa?
 
Mkuu wa JKT Naandika nalia,kwa nn yatima Justine mwenye 28 amekosa nafasi?

Kiukweli jkt itabeba ndgu fulani,sio ajira kwa nn mmewaacha vijana tena kwa rushwa ya nduguruziotion?
Sio lazima apate ajira ya Jeshi hata kama ana vigezo. Katafute kazi nyingine.
 
Mkuu wa JKT Naandika nalia,kwa nn yatima Justine mwenye 28 amekosa nafasi?

Kiukweli jkt itabeba ndgu fulani,sio ajira kwa nn mmewaacha vijana tena kwa rushwa ya nduguruziotion?
Hicho ulichoandika hakieleweki..kwa uhandishi huu kweli ulistahili kuachwa
 
I am very sirious waliochukuliwa wachunguzwe hii nayo bangi fala ww
 
Nafasi ni chache waliopata ndio hao!! Kuwa yatima sio kigezo cha upendeleo!! Anatakiwa awena sifa za kushindana!!! Pole Justine kama kweli umekatwaa!!!
 
Mkuu wa JKT Naandika nalia,kwa nn yatima Justine mwenye 28 amekosa nafasi?

Kiukweli jkt itabeba ndgu fulani,sio ajira kwa nn mmewaacha vijana tena kwa rushwa ya nduguruziotion?
Acha ufala hakunavkigezo cha umri wa miaka 28 mwisho ni 27 tena wenye masterzz mkuuu usikurupuke wakati mwingne na waumri huo wameachwa wengi so acha kutafuta kiki
 
akili zako changanya na matako yako! Hayajakukuta ndio maama wajibubhivyo
 
Nafasi ni chache waliopata ndio hao!! Kuwa yatima sio kigezo cha upendeleo!! Anatakiwa awena sifa za kushindana!!! Pole Justine kama kweli umekatwaa!!!
Huwez sema nafasi ni chache hata kwa mtu aliye omba na vigezo vyote na siku yabkwanza ww
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom