Mh mkuchika usiitumie TFF ZFA kujinasua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh mkuchika usiitumie TFF ZFA kujinasua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Jul 11, 2009.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkutano unaotegemewa kufanyika hivi karibuni kati ya TFF na ZFA ni wakisiasa na unalenga kumnusuru Waziri wa habari wa TZ mkuchika Bungeni baada ya wabunge wa zenj kukusudia kumkomalia katika bajeti yake. kwanini siku zote hizo asikilize kilio cha Zfa kuhusu kubaguliwa na TFF Hadi hivi sasa anataka kikao kifanyike. hata mwaka jana karibu bajeti kusomwa aliitaka tff kukutana na zfa kutatua mgogoro Hongera hafidh Aly kumbana Tenga na sasa tunataka umbane Mkuchika
   
Loading...