Mh.Mkosa Mali:Ivi mnawezaje kudanganya watu wawachague kwa wizi mkubwa kama huu?

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,325
719
Mh Mkosa Mali ambaye ni Mbunge wa Kasulu amesema katika hali ya kawaida hakuna mpiga kura anaye weza kuwa chagua ccm kwa wizi ulio fichuliwa na CAG.Akichangia katika mjadala wa mawasilisho ya kamati mbalimbali,alisema sijui mnawezaje kudanganya watu wawachague kwa matendo tulio yaona kama haya.
 
Angalia usije ukang'olewa kucha na meno bila ganzi!!! CCM haitakiwi!! Tushirikiane kuitokomeza!!!!

1013165_548810871844995_387610025_n.jpg
 

Wa tz ni jasiri sana hata tukiibiwa kias gani tutaendelea kuvumilia mpaka mwisho kwa kua TUNATAKA AMANI kwani kudai haki tz ni kuhatrisha amani ya nchi
 

Wa tz ni jasiri sana hata tukiibiwa kias gani tutaendelea kuvumilia mpaka mwisho kwa kua TUNATAKA AMANI kwani kudai haki tz ni kuhatrisha amani ya nchi

Tofautisha kati ya ujasiri na uzombi.Kama watu wanafika hadi chuo kikuu na wengine ni walimu vyuo vikuu wanakuwa mazombi unatarajia nini kwa wananchi wengine wasio na shule?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom