Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 719
Mh Mkosa Mali ambaye ni Mbunge wa Kasulu amesema katika hali ya kawaida hakuna mpiga kura anaye weza kuwa chagua ccm kwa wizi ulio fichuliwa na CAG.Akichangia katika mjadala wa mawasilisho ya kamati mbalimbali,alisema sijui mnawezaje kudanganya watu wawachague kwa matendo tulio yaona kama haya.