Mh Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro azindua Kismaty Advert Media


Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
14,060
Points
2,000
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
14,060 2,000
Mh Kalist Lazaro amepongeza sana Mkurugenzi wa Kismaty Marry Mollel, kwa ubunifu aliouanzisha na kuwa kampuni ya kwanza ya udalali wa habari, kimsingi kampuni hii itaturahisishia jinsi ya kupata wanahabari na vyombo vya habari alisema Mh Kalist Lazaro

Amempongeza sana Marry Mollel kuwa mwanamke wa kwanza kuanzisha kampuni nzuri sana itakayo tusaidia wote.

Mh Kalist Lazaro aliwakumbusha kuwa makini na habari watakazo toa, ziwe za kweli, nzuri na kwa bora wakitambua sheria mpya ya Habari.

Mh Kalist Lazaro alimuunga mkono na kuunga mkono kazi zinazofanywa na Kismaty Advert Media kwa kuahidi kufanya kazi zake sasa kupitia kampuni yake, na kwa kuanzia ameahidi kuandaa kadi za kuwatakia Christmas na Mwaka Mpya mwema wananchi wa jiji la Arusha.

Kisha amezindua rasmi Kismaty Advert Media ili kampuni hii kuanza shughuli zao ili kukuza uchumi wa wananchi jiji wa Arusha.

img-20161126-wa0005-jpg.439653
 

Forum statistics

Threads 1,283,909
Members 493,869
Posts 30,805,755
Top