Mh. Meya: Mawakala wanatoza 500 na resit za kuandika kwanini msifwatilie?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,339
2,000
JANA ITV

MH MWITA EMENUKULIWA AKISEMA WAMEONDOA ILE TOZO WALIOSEMA AWALI YA 500..NA KUSHAURI WATANZANIA MSILIPE KAMA MNAPEWA RESIT ZA MKONONI HATAKAMA YA MIA

LEOO KARIAKOO POSTA NZIMA WANATOZA 500 NA WANADAI AWAJAPATA MAELEKEZO TOKA KAPS

JE MH MWITA UNAONAJE BADALA YA KUJA TENA ITV UENDE KWENYE OFISI ZAO KAPS MCHANA HUU UWAAMRISHE WANANCHI HUKO NJIANI WASILIPE KAA ULIVYOSEMA BADALA YA KUSEMA HAYA KWENYE TV WATU WASICHUKULIE SIASA

TUNAOMBA KAMA MMEJITOA KWA WANANCHII MJITOE KWELIKWELI TUNAOMBA HILISWALA LIFE SASA WANANCHI WAMECHOKA WAKENYA AWAWEZI KUJAKWETU NAKUTUPANGIA BEI ZA MAEGESHO KAMWE
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,339
2,000
HIZI RESIT FEKI

ZIMEKATAZWA UKIPEWA AINAHII RUKAA KIMBIAA USILIPE NAA WAKIKULAZIMISHA NENDAPOLISI WANATAKIWA KUTOAA ZA MASHINE
 

Attachments

TAU 1

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
505
500
But all in all in any language 500/= kwa saa nipesa nyingi sana kwa sisi wa TZ wakawaida naomba baraza la madiwani kama ni kweli ndio waliopitisha kiwango hicho cha tozo kwa saa!wajitafakari upya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom