Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,582
Kiukweli haya ndio mambo tunaitaji kupambana nayo kuokoa mapato ya halmashauri ya Kinondoni.
Kuna ndugu yangu ana bucha walimpelekea barua anaitajika kulipia bango. Afike kwa mtendaji.
Mumewe hakuwepo, baada ya kufika akaambiwa lazima alipie pale akiwepo mtu wa kampuni ya mabango....akaomba sasa ni saa sita kampuni yenu haijafungwa kwanini mnilazimishe kulipa hapa akaambiwa ukipiga kelele utatozwa na faini ya mtendaji elfu 50.
Sidhani kama ni sawa na hizo faini afisa wa ubapa anamwambia mtendaji wa kata ati hao awajalipa wapigwe faini hiyo faini ni ya wapi na mtendaji anahusika kama nanii??Ni aibu sana kuona maofisa wa hii kampuni ya mabango wanatengeneza mazingira ya rushwa kwa wateja wako mh Bonny
Hali hiyo itafanya watu waogope biashara na wafunge ama kuhamia sehemu nyingine kuogopa hao maofisa na watendaji wao wa kata.
Alipolipa hajapewa risit na kuambiwa ataletewa leo jioni
Natarajia kuifuatilia hiyo risit nihakiki kama hayo malipo kweli yanafika ama la.
Mh bonny waonyeni hao maofisa wa hizo kampuni wakome kutengeneza mazingira ya kuombana rushwa na mtendaji wa kata kamwe, vinginevyo wataaibika!
Solution ni kulipia akaunt za manispaa hizo pesa wanachezea tu mtaani.