kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,336
- 21,435
Baada ya utawala wa raisi magufuli kuanza kazi,watu wengi walitoa mitazamo yao mmojawapo ni mzee membe,alizungumzia uchaguzi wa znz,safari za nje na utumbuaji majipu hapa kidogo alikuwa na wasiwasi kuwa raisi anatumbua zile teuzi za mtangulizi jk,je za kwake ataweza kuzitumbua lakini ni miezi michache tu raisi amemjibu kwa vitendo kuwa haangalii chama wala ushikaji,amekwisha kula vichwa vyake mwenyewe vitatu