• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mh:membe kuzindua kampeni ya jamii kwanza morogoro

I

Inkognito

Member
Joined
Feb 13, 2011
Messages
86
Points
125
I

Inkognito

Member
Joined Feb 13, 2011
86 125
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mheshimiwa Benard Membe anatarajiwa kuzindua itakayojulikana kama 'Jamii Kwanza' ndani ya Mji wa Morogoro yenye lengo la Kuhamasisha Vijana-Wasomi kutumia Elimu na Rasilimali walizonazo kufanya kazi za kujitolea kusaidia jamii ya kitanzania hasa jamii inayoishi maeneo ya Vijijini.Uzinduzi huo utafanyika ndani ya Ukumbi wa Glonency uliopo eneo la nanenane siku ya tarehe 17/12/2013 kuanzia saa kumi na mbili jioni ambapo watu mbalimbali watahudhuria.

Kampeni hiyo itaendeshwa na shirika lisilo la kiserikali la Cela linalojihusisha na utoaji wa Msaada wa Kisheria na Huduma za Kijamii nchini Tanzania kwa muda wa miaka mitatu na itakuwa ni endelevu.

Mratibu Msaidizi wa Kampeni hiyo ndugu Simon Jackson ametoa wito kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali waliopo Mkoani Morogoro kushiriki kwenye uzinduzi huo. Kwa Watakaotaka kushiriki wanaweza kuwasiliana na Mratibu kwa namba 0714753555.
Source:Radioni
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
12,570
Points
2,000
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
12,570 2,000
Naona ni mwendelezo ule ule wa Slogani/kauli mbiu za kijinga kupumbaza Watanzania
 
mzaramo

mzaramo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2006
Messages
6,350
Points
2,000
mzaramo

mzaramo

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2006
6,350 2,000
sasa waziri wa mambo ya nje anausikaje na mambo ya ndani tena ya vijijini?
 

Forum statistics

Threads 1,403,500
Members 531,248
Posts 34,425,020
Top