Mh.Mbunge wa Meatu ni muda wa kumpisha Mohammed Jama, Juma Mwibuli Umesikia!!

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Mohammed Jama mwadilifu kuliko Mh.Bashe na Mh.Rage, mtu aliyeifanya Meatu kuanza kutumia pikipiki bora aina ya boxer hata kabla ya Kahama,añafaà kuwa mbunge

Mnaeishi nae mda wote na asiehama kama wanyama aina ya Nyumbu

Natumai mh.diwani diwani wa zamani Mama Limbu Au mama Lucy utakuwa wa kwanza kumuunga mkono

Na radio mbalimbali zitafunguliwa huko
 
Back
Top Bottom