Uchaguzi 2020 Mh. Mbowe naomba tena uwaondoe TBC kwenye mikutano yote ya CHADEMA, kama unasikiliza mawazo ya wanachama wako naomba utekeleze hili

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Sina mengi ya kuzungumza lakini naomba TBC wapigwe marufuku kukanyaga tena kwenye mikutano ya CHADEMA.

TBC wapo hapo kwaajili ya kuhujumu mikutano, kwa wanaoangalia taarifa za TBC mtanielewa.

Kwanza katika mikutano TBC wanatafuta sehemu ambayo haina watu wengi ndio wanachukua picha.

Pili hawarushi sera alizozungumza mgombea bali wanachota point zisizo na sera ndizo wanarusha, mfano wanarusha tu mgombea akiwa anaomba michango kwa wananchi ndio basi taarifa imeisha.

Tatu taarifa ya CHADEMA inarushwa chini ya dakika moja tu,

Anaebishi naomba afatilie taarifa za TBC.

Mbowe endapo utaendelea kuwaendekeza hawa malofa na vibaraka nitakudharau sana, naomba uwaambie tu kwa amani kuwa hatuwahitaji kwenye mikutano yoyote ya CHADEMA.

Nawasililisha
 
Picha si huwa mnaweka nyinyi hapa JF zilizoeditiwa, si zinatosha?

Kumbe kwenye sera za CHADEMA huwa kunahubiriwa sera zenye point weekness. Haya sawa tumeshajua CHADEMA hawana sera.
 
Picha sihuwa mnaweka nyinyi hapa jf zilizoeditiwa,si zinatosha?
Kumbe kwenye sera za Chadema huwa kuna hubiriwa sera zenye point weekness.haya sawa tumeshajua Chadema hawana sera.
kuna chama kisicho na sera kama CCM?
 
Yani hiyo Channel naweza kumaliza mwaka kabisaaa bila kui tune kwenye tv yangu. Yani mara ya mwisho nawaangalia hawa ni siku ile Mkapa anatolewa Lugalo kama marehemu. Kabla ya hapo niliwaangalia mara ya mwisho 2015.

Yani labda tena utokee msiba wa kiongozi wa nchi aliyetokana nab maCCM ambapo vyombo vingine havionyeshi tena huwa naangalia nikiwa na FURAHA live kabisa mfano msiba wa Mkapa akiwa anatolewa pale Lugalo niliangalia huku nime relax vibaya mno!
 
Picha sihuwa mnaweka nyinyi hapa jf zilizoeditiwa,si zinatosha?
Kumbe kwenye sera za Chadema huwa kuna hubiriwa sera zenye point weekness.haya sawa tumeshajua Chadema hawana sera.

uliza Chama Cha Malofa ambao hawana sera kinasubiri Lisu aseme wao wadandie point zake hadi kuitisha press
 
sina mengi ya kuzungumza lakini
naomba TBC wapigwe marufuku kukanyaga tena kwenye mikutano ya CHADEMA

TBC wapo hapo kwaajili ya kuhujumu mikutano, kwa wanaoangalia taarifa za TBC mtanielewa

kwanza katika mikutano TBC wanatafuta sehemu ambayo haina watu wengi ndio wanachukua picha

pili hawarushi sera alizozungumza mgombea bali wanachota point zisizo na sera ndizo wanarusha, mfano wanarusha tu mgombea akiwa anaomba michango kwa wananchi ndio basi taarifa imeisha

tatu taarifa ya chadema inarushwa chini ya dakika moja tu,

anaebishi naomba afatilie taarifa za TBC


Mbowe endapo utaendelea kuwaendekeza hawa malofa na vibaraka nitakudharau sana
naomba uwaambie tu kwa amani kua hatuwaitaji kwenye mikutano yoyote ya CHADEMA

nawasililisha
119057614_197973511683765_7178176507246786920_n.jpg
 
Picha sihuwa mnaweka nyinyi hapa jf zilizoeditiwa,si zinatosha?
Kumbe kwenye sera za Chadema huwa kuna hubiriwa sera zenye point weekness.haya sawa tumeshajua Chadema hawana sera.
Hivi kuna chama amabcho hakina sera ?
 
Mimi binafsi sikuafiki kabisa maelewano ya TBC na cdm, na hata kama ni maelewano au kusameheana nilishauri cdm wasikubali kuwaalika hao jamaa kwenye mikutano yao.

Kimsingi TBC walikubali kupatana na cdm, ili waendelee kupata ruhusa ya kuhudhuria kwenye mikutano ya cdm kwa nia ya kuwahujumu. TBC hawana mchango wowote kwenye uwepo wa Chadema zaidi ya kuwahujumu.

Chadema wawambie TBC kama kuwa wameaameana lakini hawataki uwepo wao kwenye kampeni au shughuli yoyote ya kwao fullstop.
 
Hao viongozi wa chadema nao wapumbavu kama wameweza kuishi bila media for 5 yrs,wanadhani hizo media ndio leo zitazungumza mazuri ya Chadema?

Wanarusha habari kinafiki nafiki,kama Chadema mmsha amua iwe Shari basi iwe Shari.mambo ya kuruka mkojo na kukanyaga mavi yatawagharimu.
 
Sasa Chadema kama vyama vingine vinavyofanya kampeni si walipewa ruzuku ya uchaguzi basi watumie kulipia Tv binafsi badala ya kusubiri ya bure. Jee michango mnapeleka wapi?
 
Hao viongozi wa chadema nao wapumbavu kama wameweza kuishi bila media for 5 yrs,wanadhani hizo media ndio leo zitazungumza mazuri ya CDM??
Wanarusha habari kinafiki nafiki,kama CDM mmsha amua iwe Shari basi iwe Shari.mambo ya kuruka mkojo na kukanyaga mavi yatawagharimu.

mbowe anazingua TBC ni vibaraka
 
Nilimshangaa Sana Mbowe ku make peace na haters!

Hao TBC walitakiwa wapigwe 'spana' mwanzo mwisho, maana ni vibaraka waliokunywa maji ya bendera ya chama chakavu ya CCM!
 
Kwani hela zinakwendaga wapi za ruzuku anzisheni vituo vya redio na tv za kwenu hela zinaishia mikononi mwa wajanja
Mara mseme wananchi ni maskini sana papo hapo unataka uchangiwe ,mnaomba mpaka sh mia yaani poleni sana

Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
 
Acheni uchonganishi, wafanye wanavyo ona na huyo Mbowe atumie hekima, kwani wakichukua watu wachache na yeye akikaa kimya Nani ataoneka mwenye hekima? Maisha yataendelea baada ya uchaguzi.
 
Naungana na ww kwa % nimejaribu kusikiliza taarifa ya saa 5 ucku huu wameongelea tu kuchangisha watu bc ...yaani wapigwe marufuku kbs wasiripoti mikutano ya chadema ...wabakie na ccm yao na vyama vyao washirika Kama Nccr na tadea...kiufupi watuache
 
Nawasililisha
nilidhani wanachukua picha za Rungwe halafu wana edit na kusema ni chadema
madam picha ni za tukio la chadema,huwezi kumuingilia mhariri
Jaribuni tena kuwafukuza muone mtakavyosuswa mazima
uchaguzi huu ni mwepesi mno kwa aina ya mgombea mlietuletea,halafu hasira zenu mnataka kuzimaliza kwa Tbc
 
Back
Top Bottom