Mh Mbowe, kwa "position" uliyopo hufungi ng'o! Mpasie Lisu mpira.

Mchokoo

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
1,179
1,579
Mod, naomba sana uzi huu msiuunganishe na mwingine.

Niende kwenye mada, Mhe Mbowe kwanza hongera kwa kazi kubwa unayoifanya kwenye timu ya upinzani na watanzania kwa ujumla.
Sio utani, kusema kweli unahaha uwanja mzima kutafuta mipira na kutoa pasi, sambamba na kukaba na kushambulia. Vyote hivi unavyofanya kuna shabiki asiyeviona? Kama yupo basi huyo ni mamluki wa timu mnayoshindana nayo!
Kwako Mhe Kepteni, kama kumbukumbu zangu ziko sawa hii ni mechi ya sita mnakutana na timu hii kongwe tajiri lakini yenye washabiki wachache na wazee kwa sasa. Pamoja na hayo kwenye mechi tano zilizopita, zote mlipoteza, yaani hata zile mlizoungana wenzenu!

Iwe ni kwa figisu au kwa halali hiyo haijarishi maana bado si mlichezea kichapo?
Ikisemwa hivi; najua haraka mtakimbilia kutupa lawama kwa refa, ingawa huwa mnashindwa kutueleza kwanini huwa mnakubari kuingia uwanjani?
Vizuri, naona mechi ya juzi akili zimeanza kuwakaa sawa! Na kwa shambulizi lile la ghafla limewaweka kwenye nafasi ya kuibuka washindi kwenye mechi ya marudiano itakayopigwa mwakani.
Lakini ni kama mechi imeshaanza huku wewe Mbowe ukiwaramba chenga viungo wa timu kongwe, ingawa uwelekeo uliyopo ni tofauti kabisa na goli lilipo! Kana kwamba hilo halitoshi bado kuna mabeki watatu visiki wamekuzingira nyuma na mbele.
Site tumeshaona kuwa pamoja na kujituma kwako lakini huwezi kuifungia timu yako goli, ingawa bado unaweza kusababisha ushindi upatikane!

Kwanini iko hivi?

Mosi, Mbowe, uko kwenye position mbaya. (Umri wako mkubwa ukizingatia na rafu unazochezewa)

Pili, ni hawa mabeki wanaokukabili pande zote.

Beki wa kwanza ni (ukabila) sio wa kwako, isipokuwa kuna watu sijui ilikuaje wakawachukia wachaga kiasi hiki! Hivi hawa wachaga sio watanzania?

Beki wa pili ni (ukanda) yaani nchini kwetu ni kana kuna kanda zimeumbwa ziziongoze kanda zingine, na zingine ni za kuongozwa tu milele!
Beki wa tatu anaitwa (Kasumba) eti wanadai kwamba wewe hutaki mtu mwingine awe Kepteni wa timu yenu! Ndiyo maana eti bado utaendelea kung'ang'ania usukani.

Mheshimiwa, unaweza kudharau mchezo wa mabeki hawa na kwa hiyo ukaendelea kuungangania kuudhibiti mpira.
Lakini ujue lazima watakuharibia shambulio lako zuri ulilolifanya!

Ingawa kama ungeamua kucheza kitimu; mbele yako kuna mshambuliaji anayeogopwa sana na washindani wenu. Yaani yuko peke yake yeye na golikipa. Huyu si mwingine bali ni yuleyule Tundu Antipas Lisu aliyevaa jezi namba kumi mgongoni.
Unamfahamu sana, kwani wewe si ndyo ulimleta kwenye hicho kikosi?
Kwanza yuko kwenye nafasi nzuri. ( Yaani umri wake unahiri mikikimikiki ya uwanjani)
Pili, anapendwa na washangiriaji sio tu wa timu yenu pekee, bali hata na wapenzi wa washindani wenu. (Huruma ya uma kwa yaliyomkuta)

Lakini unaelewa kuwa mchezaji huyu ni mjanja sana awapo uwanjani, na mashuti yake huwatesa sana makipa wa timu mnayoshindana nayo. (Hoja za Lisu nani anaweza kuzipangua?)

Tena kwa sasa Lisu ni mchezaji wa kimataifa ambaye marefa humwangalia sana asichezewe vibaya. (Muda huu Lisu anafuatiliwa sana na vyombo mbalimbali vya kimataifa, na goli lake ukilikataa bila sababu; unaweza kufungiwa na fifa usicheze tena mpira)

Kwanini wengi humpendekeza Lisu na si mwingine? Kwani siunajua wachezaji wenu wengi wamefika bei wakanunuliwa? Lakini Lisu amejipambanua kuwa hana bei, yaani hanunuliki kabisa!
Ni kweli kwmba Mbowe umejijengea jina zuri kwenye timu yako hii, ndiyo maana wengi tunataka undoke na heshima yako!
Yatosha sasa wewe kuwa kocha wa timu hii, lakini usipende kuendelea kuwa mchezaji.

Kwa mantiki hii, nakubaliana na kauli ya vijana ya kamanda tuvushe. Lakini mimi naongezea kuwa; Mungu akuajaalie ufanye hivyo kama kocha wa timu. (Mwenyekiti mstaafu)
Na siyo Kepteni anayeichezesha timu. (Mwenyekiti mwenyewe)

Mbowe toa pasi haraka ili uandike historia.
 
Wanaomshauri agombee ndio watakao muangusha Mbowe, rejea mfano wa Samweli sitta na Anne makinda kuhusu u speaker, Samweli Sitta alianza kukataliwa bungeni baada ya kuwa anawapa upinzani muda mwingi wa kuongea na hoja nyingi zilikuwa mawe kwa wabunge wa ccm, Sasa jiulize Anne Makinda alipata wapi jeuri ya kushindana na boss wake, Hapo muda mwingi mzee Sitta alikuwa ana uhakika wa Ku win uspeaker kwa asilimia💯 kutokana na kampani kubwa nyuma yake.
 
Mod, naomba sana uzi huu msiuunganishe na mwingine.

Niende kwenye mada, Mhe Mbowe kwanza hongera kwa kazi kubwa unayoifanya kwenye timu ya upinzani na watanzania kwa ujumla.
Sio utani, kusema kweli unahaha uwanja mzima kutafuta mipira na kutoa pasi, sambamba na kukaba na kushambulia. Vyote hivi unavyofanya kuna shabiki asiyeviona? Kama yupo basi huyo ni mamluki wa timu mnayoshindana nayo!
Kwako Mhe Kepteni, kama kumbukumbu zangu ziko sawa hii ni mechi ya sita mnakutana na timu hii kongwe tajiri lakini yenye washabiki wachache na wazee kwa sasa. Pamoja na hayo kwenye mechi tano zilizopita, zote mlipoteza, yaani hata zile mlizoungana wenzenu!

Iwe ni kwa figisu au kwa halali hiyo haijarishi maana bado si mlichezea kichapo?
Ikisemwa hivi; najua haraka mtakimbilia kutupa lawama kwa refa, ingawa huwa mnashindwa kutueleza kwanini huwa mnakubari kuingia uwanjani?
Vizuri, naona mechi ya juzi akili zimeanza kuwakaa sawa! Na kwa shambulizi lile la ghafla limewaweka kwenye nafasi ya kuibuka washindi kwenye mechi ya marudiano itakayopigwa mwakani.
Lakini ni kama mechi imeshaanza huku wewe Mbowe ukiwaramba chenga viungo wa timu kongwe, ingawa uwelekeo uliyopo ni tofauti kabisa na goli lilipo! Kana kwamba hilo halitoshi bado kuna mabeki watatu visiki wamekuzingira nyuma na mbele.
Site tumeshaona kuwa pamoja na kujituma kwako lakini huwezi kuifungia timu yako goli, ingawa bado unaweza kusababisha ushindi upatikane!

Kwanini iko hivi?

Mosi, Mbowe, uko kwenye position mbaya. (Umri wako mkubwa ukizingatia na rafu unazochezewa)

Pili, ni hawa mabeki wanaokukabili pande zote.

Beki wa kwanza ni (ukabila) sio wa kwako, isipokuwa kuna watu sijui ilikuaje wakawachukia wachaga kiasi hiki! Hivi hawa wachaga sio watanzania?

Beki wa pili ni (ukanda) yaani nchini kwetu ni kana kuna kanda zimeumbwa ziziongoze kanda zingine, na zingine ni za kuongozwa tu milele!
Beki wa tatu anaitwa (Kasumba) eti wanadai kwamba wewe hutaki mtu mwingine awe Kepteni wa timu yenu! Ndiyo maana eti bado utaendelea kung'ang'ania usukani.

Mheshimiwa, unaweza kudharau mchezo wa mabeki hawa na kwa hiyo ukaendelea kuungangania kuudhibiti mpira.
Lakini ujue lazima watakuharibia shambulio lako zuri ulilolifanya!

Ingawa kama ungeamua kucheza kitimu; mbele yako kuna mshambuliaji anayeogopwa sana na washindani wenu. Yaani yuko peke yake yeye na golikipa. Huyu si mwingine bali ni yuleyule Tundu Antipas Lisu aliyevaa jezi namba kumi mgongoni.
Unamfahamu sana, kwani wewe si ndyo ulimleta kwenye hicho kikosi?
Kwanza yuko kwenye nafasi nzuri. ( Yaani umri wake unahiri mikikimikiki ya uwanjani)
Pili, anapendwa na washangiriaji sio tu wa timu yenu pekee, bali hata na wapenzi wa washindani wenu. (Huruma ya uma kwa yaliyomkuta)

Lakini unaelewa kuwa mchezaji huyu ni mjanja sana awapo uwanjani, na mashuti yake huwatesa sana makipa wa timu mnayoshindana nayo. (Hoja za Lisu nani anaweza kuzipangua?)

Tena kwa sasa Lisu ni mchezaji wa kimataifa ambaye marefa humwangalia sana asichezewe vibaya. (Muda huu Lisu anafuatiliwa sana na vyombo mbalimbali vya kimataifa, na goli lake ukilikataa bila sababu; unaweza kufungiwa na fifa usicheze tena mpira)

Kwanini wengi humpendekeza Lisu na si mwingine? Kwani siunajua wachezaji wenu wengi wamefika bei wakanunuliwa? Lakini Lisu amejipambanua kuwa hana bei, yaani hanunuliki kabisa!
Ni kweli kwmba Mbowe umejijengea jina zuri kwenye timu yako hii, ndiyo maana wengi tunataka undoke na heshima yako!
Yatosha sasa wewe kuwa kocha wa timu hii, lakini usipende kuendelea kuwa mchezaji.

Kwa mantiki hii, nakubaliana na kauli ya vijana ya kamanda tuvushe. Lakini mimi naongezea kuwa; Mungu akuajaalie ufanye hivyo kama kocha wa timu. (Mwenyekiti mstaafu)
Na siyo Kepteni anayeichezesha timu. (Mwenyekiti mwenyewe)

Mbowe toa pasi haraka ili uandike historia.
Kura tunapiga sisi huu Uchaguzi sio kama ule Uliopita wa watendaji kukimbia,Mbowe atapita kwa kushindo
 
Ametoka majeruhi juz tu hivyo hawez kuwa forcing striker KWA dk 90 hivyo atakuwa anatokea sub mpaka awe fit kurithishwa

Kwa lissu kuwa makamu mwenyekiti chadema wamecheza 100%.wako vigogo ndani ya ccm wanasema lissu kwa ushawishi ni hatari.rai yangu lissu akifanikiwa kushinda nafasi hiyo wampe ulinzi chadema.lissu ni dhahabu.
 
Back
Top Bottom