Mh Mbowe fanya usajili wa Ester Bulaya katika timu yako

Ni vigumu mtu mkweli na msimamizi wa haki za watanzania kuwa magambani. Utarazimika wakati wote kuunga mkono hoja iwe nzuri au mbaya ili kulinda gvt ya magamba
 
kwenye kura za maoni ndani ya ccm je? mibangi yenu bana kha!
Her chances are too remote. Ndiyo maana ataendelea kugombea viti vya kubebwa vya wanawake opportunist huyu. Mibangi inaingiaje hapa sasa!
 
Her chances are too remote. Ndiyo maana ataendelea kugombea viti vya kubebwa vya wanawake opportunist huyu. Mibangi inaingiaje hapa sasa!

Ukichaa wa viongozi wa chadema kwa Bulaya unaingiaje? well, umeeleweka .......
 
Ukichaa wa viongozi wa chadema kwa Bulaya unaingiaje? well, umeeleweka .......
Well, inawezekana kwa uelewa wangu mdogo nilishindwa kuelewa context ya ulichoandika mwanzoni kuwa Wassira vs Bulaya. Nilifikiri ulimaanisha Wassira (CCM) vs Bulaya (CDM). If I was wrong, kumradhi. But if I was right, you owe me an apology.
 
Pamoja mkuu................ hope all is well now
 
Kwani hamjui kwamba huyu ni shemeji yetu? ni mke wa Mhe. Halima Mdee. Lazima tujivunie mashujaa wetu, ndani ya CHADEMA tuna vipaji vingi...Mzinifu Mkuu na Mchukua Wake za Watu tunaye, na sasa Msagaji tunaye pia...hiki chama catu wenye Madhambi yamchukizayo Mungu
 
Guys tumtendee haki huyu dada siku hizi kabadirika sana. Amekuwa mtetezi wa kweli wa wananchi, na kama tukiacha ushabiki na kumfatilia kwa hoja basi tutakubaliana huyu dada Esthe siku hizi anafanya vizuri sana katika bunge. Penye kusifu anasifu na penye kukosoa anakosoa kwa hoja nzito na ujasili mkubwa. Mimi pia niliwahi kuweka uzi hapa kuonesha simkubali Esther lakini ukweli ni kwamba namfaitia hoja zake siku hizi zinamashiko kwa taifa na hivyo anapaswa kuungwa mkono ili aongeze kufanya vizuri.

M4C
 
Tumkubali kwa vile ni shemeji yetu...ni mke wa Mhe Halima Mdee. Kama ni pongezi apewe Mhe Halima Mdee
 
Huyu dada ameichambua bajeti kisayansi na kisomi, kapitia vipengele na kuainisha mapungufu, kaangalia utekelezaji wa bajeti iliyopita kalinganusha na iliyoombwa!! Huyu dada ni jembe, sijui nani alimuingiza mkenge kuleta vurugu pale Igunga, atakusaidia sana Mh Mbowe katika utekelezaji wa M4C hebu angalia uwezekano wa kumvalisha Gwanda. Kasi yake haiendani na serikali goigoi ya CCM.
Kwasababu CCM ndo chimbuko la waadilfu na wachapakazi wa ukweli,siwatu wavurugu na sera zakibabe
 
Wasira anyimwe usingizi na Bulaya?
Ha!ha!ha!ha!....
Bulaya ni naaaaaannnni?
Hapana chezeya Taison weye.
Mkuu kunawakati walifika hatua ya kurushiana maneno hadharani.
Hadi kumshutumu kwamba Bulaya anatumika na Chadema.!!
 
Well, inawezekana kwa uelewa wangu mdogo nilishindwa kuelewa context ya ulichoandika mwanzoni kuwa Wassira vs Bulaya. Nilifikiri ulimaanisha Wassira (CCM) vs Bulaya (CDM). If I was wrong, kumradhi. But if I was right, you owe me an apology.

Kaka usihangaike na Mchezo wa Maboksi wa watoto, anatengeza halafu anasema gari yanguuuu utadhani kweli..
Ni hivi MARA hawajawahi kuchagua MWANAMKE kuwa MBUNGE, haipo, na haitokuwepo kwasasa labda baadae saana.
Hata bila Wasira, huyo Esther hawezi kushinda coz sio mtu wa Mara halafu hana base kubwa kwa wananchi vijijini, yaani umarufu wake kwenye TV ni mkubwa kuliko anavyojulikana Bunda.
 
Back
Top Bottom