Mh Mbowe fanya usajili wa Ester Bulaya katika timu yako

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,396
7,967
Huyu dada ameichambua bajeti kisayansi na kisomi, kapitia vipengele na kuainisha mapungufu, kaangalia utekelezaji wa bajeti iliyopita kalinganusha na iliyoombwa!! Huyu dada ni jembe, sijui nani alimuingiza mkenge kuleta vurugu pale Igunga, atakusaidia sana Mh Mbowe katika utekelezaji wa M4C hebu angalia uwezekano wa kumvalisha Gwanda. Kasi yake haiendani na serikali goigoi ya CCM.
 
Anaugua CCMphobiasis
 
Kwa hiyo mbunge wa ccm akifanya vizuri lazima atoke ccm na kujiunga na upinzani siyo? hawezi kufanya vizuri na kuendelea kuwa mbunge wa ccm ili hata wale wasio fanya vizuri nao waweze kufanya vizuri?
 
Rafiki siku zote njiwa wa jamii moja huruka pamoja, mwenye uzi kaona ni njiwa aliyejichanganya na kunguru na sasa anatakiwa kufanyiwa mikakati ya kwenda kuishi na njiwa wenzake!
 
Kwa Bulaya anatakiwa yeye mwenyewe aamue kuvaa gwanda pasipo kumsubiri kamanda.BULAYA ANAHEKIMA,ANABUSARA,ANA AKILI,ANAUJASIRI,ANAUPENDO,ANAMATUMAINI NA UELEWA.2015 CDM NI IKILU.BULAYA UNATAKA CDM HUTAKI UNA ACHA.
 
Huyu dada ameichambua bajeti kisayansi na kisomi, kapitia vipengele na kuainisha mapungufu, kaangalia utekelezaji wa bajeti iliyopita kalinganusha na iliyoombwa!! Huyu dada ni jembe, sijui nani alimuingiza mkenge kuleta vurugu pale Igunga, atakusaidia sana Mh Mbowe katika utekelezaji wa M4C hebu angalia uwezekano wa kumvalisha Gwanda. Kasi yake haiendani na serikali goigoi ya CCM.
Na wale wote wa CDM wasiochangia chochote kwenye mjadala wa bajeti hii waende CCM!!!!!
 
Kwa hiyo mbunge wa ccm akifanya vizuri lazima atoke ccm na kujiunga na upinzani siyo? hawezi kufanya vizuri na kuendelea kuwa mbunge wa ccm ili hata wale wasio fanya vizuri nao waweze kufanya vizuri?
Kama unataka kufika haraka mahali unaenda utachagua kupanda ndege na sio TREKTA. Huyu dada ana upeo na muono mzuri wa namna ya kutatua matatizo ya watanzania lakini yuko katika njia isiyo sahihi. M4C itamuwezesha kufikia malengo yake. CCM ni sikio la kufa
 
sijui kwanini hili bunge la budget limekosa mashiko .. naona wananchi kama wamekata tamaa, bulaya anamalizia mkataba wake, silinde, cheyo, mb wa mbarali wamefanya vizuri sana
 
Na wale wote wa CDM wasiochangia chochote kwenye mjadala wa bajeti hii waende CCM!!!!!
Yuko mmoja tu Shibuda...

Unajua huu ndio wakati wa CDM kutengeneza timu ya ushindi na kuiletea nchi maendeleo kwa hiyo ni muhimu kusajili wachezaji wenye uwezo, nilivyomsikiliza Ester anafaa katika M4C
 
tundu lisu, ,,, kafulila on the way, sasa hivi anaongea kiti maalum (kijani) na kuanza kumsifia jk
 
Huyu dada ameichambua bajeti kisayansi na kisomi, kapitia vipengele na kuainisha mapungufu, kaangalia utekelezaji wa bajeti iliyopita kalinganusha na iliyoombwa!! Huyu dada ni jembe, sijui nani alimuingiza mkenge kuleta vurugu pale Igunga, atakusaidia sana Mh Mbowe katika utekelezaji wa M4C hebu angalia uwezekano wa kumvalisha Gwanda. Kasi yake haiendani na serikali goigoi ya CCM.

Ulukolokwitanga, nina mtazamazo tofauti kabisa na wako. Nimeskiliza huyu dada na sikuona 'substance' yoyote zaidi ya kuongea kwa 'hisia' au niseme usanii. She really needs to seat down na kusoma kidogo ili huko mbeleni awe na kitu/issue ya kuongea. Nadhani unaweza kuwa umevutiwa na style rather than the contents!
 
sijui kwanini hili bunge la budget limekosa mashiko .. naona wananchi kama wamekata tamaa, bulaya anamalizia mkataba wake, silinde, cheyo, mb wa mbarali wamefanya vizuri sana
Kuchangia vizuri ni one thing na kuimpliment unachochangia ni another thing. Usipumbazike na hizi bla bla za magamba. Lissu aniita hii kitu ni silly season!!!!
 
Nadhani jukumu hilo aachiwe mh. Halima Mdee! Atamaliza kazi kirahiiiiiiiisi!
 
Nimeipenda hii'' Na wale wabunge wa Chadema wasio changia chochote bungeni waende CCM! naona imekaa ki mjadala zaidi safi sana!
 
Rafiki siku zote njiwa wa jamii moja huruka pamoja, mwenye uzi kaona ni njiwa aliyejichanganya na kunguru na sasa anatakiwa kufanyiwa mikakati ya kwenda kuishi na njiwa wenzake!
Mkuu kwani kuna jamii ngapi ya Njiwa? Au ulimaanisha kusema Ndege wa jamii moja huruka pamoja!
 
Kuchangia vizuri ni one thing na kuimpliment unachochangia ni another thing. Usipumbazike na hizi bla bla za magamba. Lissu aniita hii kitu ni silly season!!!!

mkuu kazi ya mbunge si kuimplement, mbunge wa tz ni kama observer/vuvuzela tu.. govt is untouchable!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom