Mh Mbowe awaonya polisi kufanya kazi za uchama

CHADEMA wanafadhiliwa CDU, Christian Democratic Union ili waeneze ukristo, chama cha kidini hiki. hata makao makuu ukienda pale kuna SANAM ya BIKRA MARIA.

Walikuwepo wachochezi kama wewe waliokalia fitna na uchonganishi kama Boko Haram! Hawakupata kitu, wametoweka maisha yanaendelea! Kwa kuwa mnafuata njia ya Shetani kwa ubaguzi na uongo wenu, Mungu atawapa haki yenu! Ni heri wanaofanya kazi ya upatanishi! Dunia nzima inajua cdm ina wakristu, Waislamu na wasio na dini! Kuwa na uhusiano na Chama chenye jina kama hilo maana yake ni kuwa mkristu? Na waislamu waliosoma kwenye shule za kikristu nao ni Wakristu? Tumia kichwa chako kufikiri, sio kufugia nywele!
 
Back
Top Bottom