Mbowe aeleza machache kuhusu kuondoka kwa Lowassa

You are right, mbadala wake kwangu mimi ni John Heche full stop
Mbowe ni mzuri sana kwenye speech, sauti yake inayomamlaka ndani yake ni kiongozi mzuri. Lakini pamoja na kwamba ni kiongozi mzuri, ni vema akakiandaa chama Kwa vijana na yeye sauti yake bado itasikika tu.
 
Chama sasa si kidogo na ni chama mbadala baada ya CCM,Nategemea kiwe na sura ya kidemokrasia ya kuachiana vijiti.Napata kigugumizi sana ninapoona Jina moja hilo hilo miaka lukuki.Mbowe anaushawishi ni vema akajiwekea malengo ya kupigania uraisi 2025 lakini mchakato ukaanza Sasa Kwa kujijenga. Awe mzee wa chama na chama kimuandae
Kwani wewe huoni waliondaliwa? Au wewe unataka waandaliweje hasa? Muda ukifika mabadiliko yatafanyika. Achana na propaganda za uvccm eti sura ileile. Chama hakiwezi kufanya mabadiliko kuwaridhisha wapinzani wake, hata siku moja.
 
Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa ndani wa CHADEMA mkoani Singida amesema Chadema ni taasisi na hata ukiondoka utaondoka wewe na mke wako na siyo chama.

Mbowe amemtolea mfano Edward Lowassa kuwa hakuyajua mateso ya kuwa upinzani na baada ya miaka miwili ya kuwa upinzani Lowasa alilegea kama mlenda!

View attachment 1102254
Mboe ni mtoto mdogo anaendesha chama kwa mihemko. Lowassa ni mwanasiasa miaka mingi na ni jasusi.
 
Kwani wewe huoni waliondaliwa? Au wewe unataka waandaliweje hasa? Muda ukifika mabadiliko yatafanyika. Achana na propaganda za uvccm eti sura ileile. Chama hakiwezi kufanya mabadiliko kuwaridhisha wapinzani wake, hata siku moja.

Chadema lazima ijadiliwe na watanzania wote kwani wakati wowote watanzania wanaweza kuwapa ridhaa ya kuongoza Nchi hawatakuwa viongozi wa kundi fulani bali viongozi wa Tanzania.Atakayeamini chadema ijadiliwe na wana chadema pekee naamini si sawa.
 
Kwa kuheshimiana tu naona tukubaliane kutokukubaliana.
 
Back
Top Bottom