Mbowe aeleza machache kuhusu kuondoka kwa Lowassa

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa ndani wa CHADEMA mkoani Singida amesema Chadema ni taasisi na hata ukiondoka utaondoka wewe na mke wako na siyo chama.

Mbowe amemtolea mfano Edward Lowassa kuwa hakuyajua mateso ya kuwa upinzani na baada ya miaka miwili ya kuwa upinzani Lowasa alilegea kama mlenda!

 
Elewa content mzee Mh Mbowe alikuwa ana address kikao cha ndani cha viongozi wa CHADEMA
Message inahusu kikao husika pia ni kweli CHADEMA ni taasisi ndio maana hata baada ya mawe yote ambayo serikali inarusha bado tupo Imara na kesho yetu ni nzuri kuliko jana

Hiyo ndo failure ya upinzani. Sasa CHADEMA inajiaminisha ni bora kuliko upinzani wengine. Kwa kusema hayo anajitenga na kujiweka kundi fulani. Eti vyama vingine vina sura za viongozi, CHADEMA haina sura ya viongozi? Ukabila je?
Mbowe ni nyani asiyeona asshole yake.
 
Mbowe ni mzuri sana kwenye speech, sauti yake inayomamlaka ndani yake ni kiongozi mzuri. Lakini pamoja na kwamba ni kiongozi mzuri, ni vema akakiandaa chama Kwa vijana na yeye sauti yake bado itasikika tu.
 
Back
Top Bottom