kigoma mjini
Member
- Dec 1, 2013
- 95
- 9
Katika kipindi cha jambo TBC mh. Mbatia anasema wabunge wengi hawana makatibu wanaowasaidia kuandaa hoja za msingi bali imekuwa ni kuuliza maswali ya kukomoa kwa waziri mkuu badala ya maswali ya kisera.
Hilo mpaka ahojiwe ndio aseme???!!!!
Aweke CV ya msaidizi wake kwanza tumchekeche tuone umakini wake!!!
Wao ndio sio makini na hawakai bungeni viti kibao vitupu sasa hizo hoja hata wakipewa wataziwasilisha saa ngapi!!!?????
Mbunge wa kutaka kuandaliwa hoja ya msingi na msaidizi wake kwa kweli ampishe tu huyo
msaidizi ashike hilo jimbo!!!!!
Waendelee kuhojiwa ili tujue zaidi yajazayo mioyo yao!!!!!
ukweli unauma, nasubir akili ndogo ya bavicha tu ianze kaz yake hapa
hahaha lakini kuna umhimu wa msaidizi.
katika kipindi cha jambo tbc mh.mbatia anasema wabu ge wengi hawana makatibu wanaowasaidia kuandaa hoja za msingi bali imekuwa ni kuuliza maswali yakukomoa kwa waziri mkuu badala ya maswali ya kisera.
ukweli unauma, nasubir akili ndogo ya bavicha tu ianze kaz yake hapa