Mh Masele: La wachimbaji wadogo pita katika maneno yako.

Sinamboga

Member
Dec 6, 2012
83
36
Mh Nimekusikia Ukiongea kuhusu wachimbaji wadogo wadogo,pita katika maneno yako.Tumeona Mwabomba Kahama mzungu amechimba takribani miaka 2 hakuna chochote katika maendeleo lakini tumeona baada ya wachimbaji wadogo kuruhusiwa Ushirombo na Masumbwe maendeleo yanavyoshika kasi ya ajabu na watu kufanya maendeleo
Nakushauri kwa dhati pita katika maneno yako.
 
Huyu ni mwizi tu hawezi kuwa na jipya .Kujipitisha ili atoe matamko ni ujinga wa hali ya juu afanye kazi aende kuelezea mafanikio
 
Back
Top Bottom