Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,914
- 30,972
wanandugu imebaki masaa kadhaa kabla ya kumalizika siku ya jumapili na kama kila mtanzania mwenye macho na aliesikia siku bwana mkubwa mhe dk mahanga makongoro aliwaambia waheshimiwa wabunge wenye akilizao na familia zao wameacha zikiwawaza kwamba wafanyakazi wa kampuni ya ndege ya tanzania ni waongo na wambea...na kuongezea ndege ya AIRBUS A320 inaingia siku ya jumapili msiwasikilize wafanyakazi wa kampuni hii wote ni waongo na wambea....wengi wamekuja na hisia zao ila nakumbuka hivi kartibuni mhe mmoja nae ameingia mkenge kuiambia bunge kwamba baraza la mawaziri lilitoa baraka kuongeza ,nkataba wa TICTS..
MHESHIMIWA jumapili aikuwa mbali ndio maana wenye akili zao wametulia kuona kitakachoendelea ..leo hii ni jumapili kwa mdomo wako uliwaambia wabunge ndege ya airbus inakuja jumapili kwa umakini...tuko nyuma yako na wengi tulifurahi ,,baya ni kuwakashfu wazee wenye mvi zao wamekaa pale miaka zaidi ya 40 wanatumikia kampuni kwa kutokuwa hata na haya ya kuzaliwa ukawaita wambea,,Loh!!!!!!!!!!!!
Mungu mkubwa waandishi wa habari natumaini walikusikiliza na baada ya hapo wataamua kutaja nani mbea na nani muongo
MWITO KWA MH SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO
tunaomba kama ndege hii itashindwa kuwasili siku ya leo tunaomba uingize kwenye hansad yako kwamba mhe naibu waziri ailiidanganya bunge ndege inakuja na haikutokea,,,na kama ulivyoarakissha kutoa adhabu kwa mhe zito ,,kwa ushabiki wa siasa ingawa unajuta kwanini ukumsikiliza ama si kosa lako labda ukusoma nyakati zijazo ukafanya vile tunakuomba kama umsubirvyo kwa hamu mh karamagi tunaomba mh huyu akiri mbele ya bunge aliidanganya bunge na kuwaomba wafanyakazi wote aliwaoita wambea na waongo...
SINA MENGI NA TUMAINI MUDA SIMREFU UKWELI UTADHIRIKA
WENU
MPENDA NCHI
MWANAHALISI