Mh Makonda ule mkakati wa walimu kusafiri bure uliishia wapi ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,710
239,288
Sisi wananchi tulifurahishwa sana na huruma yako kwa walimu wa kinondoni , kiukweli tulikuombea sana dua kwa Mwenyezi Mungu ili akuzidishie .

Sasa masiku mengi yamepita hatukusikia mrejesho wa kilichojiri , maana wengi tulitumaini kwamba mara baada ya Mh Rais kukupandisha cheo basi bila shaka huruma ile kwa waalimu wa kinondoni ingesambaa jiji zima la D'salaam .
 
Sasa ni kutoa agizo jipya kwa wanafunzi wa Dar kufayia practical mwezini. Unacheza na Makonda wewe!! Hugo anaweza kukamata sukari iliyofichwa na wafanyabiashara ndani ya Custom bonded warehouse na Rais akampongeza kuwa ni mchapa kazi
 
selfie + kuwaalika ofcn kwake bongo movie+ instagram ndo vitakavyomuanguka makonda!!!
 
Unaiulizia ile movie labda ngoja aje yule muhusika wa ile movie atupe majibu.
 
Hahahaaaaa, wabongo kazi snaa

Sent from my TECNO_N9 using JamiiForums mobile app
Kivipi ? Maana maandalizi yalikwisha kamilika na tuliona mpaka vibopa wenye magari wakiunga mkono , nadhani kilichokuwa kimebaki ni vitambulisho maalum tu .
 
Sasa ni kutoa agizo jipya kwa wanafunzi wa Dar kufayia practical mwezini. Unacheza na Makonda wewe!! Hugo anaweza kukamata sukari iliyofichwa na wafanyabiashara ndani ya Custom bonded warehouse na Rais akampongeza kuwa ni mchapa kazi
ngoja niongeze cku kwa kucheka peke yangu
 
Unajua kutunga sheria ni jambo zuri ila lazima kuwe na mikakati ya namna ya kuisimamia sheria.
Isipokuwepe hio ni tatizo.
 
Sisi wananchi tulifurahishwa sana na huruma yako kwa walimu wa kinondoni , kiukweli tulikuombea sana dua kwa Mwenyezi Mungu ili akuzidishie .

Sasa masiku mengi yamepita hatukusikia mrejesho wa kilichojiri , maana wengi tulitumaini kwamba mara baada ya Mh Rais kukupandisha cheo basi bila shaka huruma ile kwa waalimu wa kinondoni ingesambaa jiji zima la D'salaam .

Ni mizuka tu kama alivyosema Sugu
 
Chama chenu si walipinga ama ? ?.. wa tz tatizo lenu mnachukulia vitu for granted sana, mlijua mkipinga ndo mtaongezewa mishahara au?
 
Sisi wananchi tulifurahishwa sana na huruma yako kwa walimu wa kinondoni , kiukweli tulikuombea sana dua kwa Mwenyezi Mungu ili akuzidishie .

Sasa masiku mengi yamepita hatukusikia mrejesho wa kilichojiri , maana wengi tulitumaini kwamba mara baada ya Mh Rais kukupandisha cheo basi bila shaka huruma ile kwa waalimu wa kinondoni ingesambaa jiji zima la D'salaam .
ahaaa ile movie inakaribia kutoka mkuu...c mnataka mpande haya mabasi mapya yanayowahi
 
Sisi wananchi tulifurahishwa sana na huruma yako kwa walimu wa kinondoni , kiukweli tulikuombea sana dua kwa Mwenyezi Mungu ili akuzidishie .

Sasa masiku mengi yamepita hatukusikia mrejesho wa kilichojiri , maana wengi tulitumaini kwamba mara baada ya Mh Rais kukupandisha cheo basi bila shaka huruma ile kwa waalimu wa kinondoni ingesambaa jiji zima la D'salaam .
Mabasi ya mwendo kasi ndio yalitusahaulisha hiyo project
 
Ule mpango wa walimu kupanda dezo kwenye mabasi uliisha baada ya ujio wa mabasi ya mwendo kasi.

Kwa kuwa mashine zinazoruhusu kuingia kwenye mabasi hayo hazitambui vitambulisho vya walimu walivyopewa na Makonda wala 'hazitishiki' na magwanda ya Masoja..............
 
Sisi wananchi tulifurahishwa sana na huruma yako kwa walimu wa kinondoni , kiukweli tulikuombea sana dua kwa Mwenyezi Mungu ili akuzidishie .

Sasa masiku mengi yamepita hatukusikia mrejesho wa kilichojiri , maana wengi tulitumaini kwamba mara baada ya Mh Rais kukupandisha cheo basi bila shaka huruma ile kwa waalimu wa kinondoni ingesambaa jiji zima la D'salaam .
Mikakati ya porini huishia porini
 
Back
Top Bottom