Mheshimiwa mkuu wa mkoa pole sana na majukumu ya kila siku. Huku kwetu mpigi magoe barabara imekuwa shida sana. Tunalazimika kutumia saa nzima kwenye mwendo wa dakika 15 kutoka mpigi magoe kwenda mbezi.
Kuna baadhi ya maeneo kama kwa mgalula TANROAD hawakuweka mawe bali misumari. Mawe yamesimama mwendo wa kuharibu matairi. Daladala zinapatikana kwa shida sana kwa maana matajiri wengi hawaleti magari yao. Magari binafsi yanaharibika kila siku.
Mheshimiwa, wakazi wa huku tunahesabu hasara kila kukicha.
Tunakuomba utusaidie japo lije grader waparue parue kidogo.