Mh Makonda barabara ya Mbezi-Mpigi Magoe kupitia Mbezi kwa Yusufu ni misumali si mawe

Avotik

Member
Oct 6, 2017
13
10
Mheshimiwa mkuu wa mkoa pole sana na majukumu ya kila siku. Huku kwetu mpigi magoe barabara imekuwa shida sana. Tunalazimika kutumia saa nzima kwenye mwendo wa dakika 15 kutoka mpigi magoe kwenda mbezi.

Kuna baadhi ya maeneo kama kwa mgalula TANROAD hawakuweka mawe bali misumari. Mawe yamesimama mwendo wa kuharibu matairi. Daladala zinapatikana kwa shida sana kwa maana matajiri wengi hawaleti magari yao. Magari binafsi yanaharibika kila siku.

Mheshimiwa, wakazi wa huku tunahesabu hasara kila kukicha.
Tunakuomba utusaidie japo lije grader waparue parue kidogo.
 
Kwa nini mnakimbilia kuishi maeneo ambayo hayajapimwa...

Ndio maana hata maendeleo yanachelewa kuwafikia huko maana katika ramani ya masterplan si ajabu kunaonekana bado ni hifadhi ya msitu wa Pande...
 
Hahahahaha. Ila hii barabara imeshawekewa vipimo na TANROAD.
 
Kwa nini mnakimbilia kuishi maeneo ambayo hayajapimwa...

Ndio maana hata maendeleo yanachelewa kuwafikia huko maana katika ramani ya masterplan si ajabu kunaonekana bado ni hifadhi ya msitu wa Pande...
Mkuu unafikiri kuna mtu anapenda kuishi huko?
 
Mheshimiwa mkuu wa mkoa pole sana na majukumu ya kila siku. Huku kwetu mpigi magoe barabara imekuwa shida sana. Tunalazimika kutumia saa nzima kwenye mwendo wa dakika 15 kutoka mpigi magoe kwenda mbezi.

Kuna baadhi ya maeneo kama kwa mgalula TANROAD hawakuweka mawe bali misumari. Mawe yamesimama mwendo wa kuharibu matairi. Daladala zinapatikana kwa shida sana kwa maana matajiri wengi hawaleti magari yao. Magari binafsi yanaharibika kila siku.

Mheshimiwa, wakazi wa huku tunahesabu hasara kila kukicha.
Tunakuomba utusaidie japo lije grader waparue parue kidogo.
Huko ni mkoa wa pwani.
 
Mheshimiwa DSM RC Barabara ya Bunju MabwePandwe ni Misumari siyo Kokoto!
 
Mheshimiwa mkuu wa mkoa pole sana na majukumu ya kila siku. Huku kwetu mpigi magoe barabara imekuwa shida sana. Tunalazimika kutumia saa nzima kwenye mwendo wa dakika 15 kutoka mpigi magoe kwenda mbezi.

Kuna baadhi ya maeneo kama kwa mgalula TANROAD hawakuweka mawe bali misumari. Mawe yamesimama mwendo wa kuharibu matairi. Daladala zinapatikana kwa shida sana kwa maana matajiri wengi hawaleti magari yao. Magari binafsi yanaharibika kila siku.

Mheshimiwa, wakazi wa huku tunahesabu hasara kila kukicha.
Tunakuomba utusaidie japo lije grader waparue parue kidogo.
Nakujua huko nilishawahi kuishi,ingekuwa vizuri ungeweka na kapicha kuonesha hayo mawe yalivyochomoza,yaani inafikia mahali unalionea gari huruma,unatamani ulibebe mgongoni utembee kwa miguu..
 
Mkuu unafikiri kuna mtu anapenda kuishi huko?
Pengine hawapendi lakini ndio nchi yetu ilivyo...

Kwa maeneo ya mbali na mji kama huko, ishu ya barabara hadi itengemae ni ama kuna kiongozi ana ishu zake, au kuna wapiga kura wa kutosha la sivyo inabidi kuvumilia tu kama wananchi wa Kinyerezi, Goba n.k waliovumilia miaka nenda rudi...

Si unasikia kina ngosha huko Mwanza wamepona na bomoabomoa kwa vile walimpa kura za kutosha 'mkamua majipu'...
 
Mheshimiwa mkuu wa mkoa pole sana na majukumu ya kila siku. Huku kwetu mpigi magoe barabara imekuwa shida sana. Tunalazimika kutumia saa nzima kwenye mwendo wa dakika 15 kutoka mpigi magoe kwenda mbezi.

Kuna baadhi ya maeneo kama kwa mgalula TANROAD hawakuweka mawe bali misumari. Mawe yamesimama mwendo wa kuharibu matairi. Daladala zinapatikana kwa shida sana kwa maana matajiri wengi hawaleti magari yao. Magari binafsi yanaharibika kila siku.

Mheshimiwa, wakazi wa huku tunahesabu hasara kila kukicha.
Tunakuomba utusaidie japo lije grader waparue parue kidogo.
Kuna kitu cjaelewa hapa,hv Rc ndo mtendaji wa mkoa??? Au kilio hiki kilipaswa kiende kwa mameya,wakurugenzi,wabunge na madiwani???
 
Nakujua huko nilishawahi kuishi,ingekuwa vizuri ungeweka na kapicha kuonesha hayo mawe yalivyochomoza,yaani inafikia mahali unalionea gari huruma,unatamani ulibebe mgongoni utembee kwa miguu..
Yaani mpaka roho inauma kwa kweli. Unalazimika kutumia saa nzima kwenye mwendo wa dakika 15. Hali ni mbaya sana.
 
Kuna kitu cjaelewa hapa,hv Rc ndo mtendaji wa mkoa??? Au kilio hiki kilipaswa kiende kwa mameya,wakurugenzi,wabunge na madiwani???
Yeye aliahidi kushughulika na hawa wakurugenzi endapo watashindwa kurekebisha hizi barabara.
 
Back
Top Bottom