Mh Magufuli Tupia Macho Barabara ya Dodoma-Iringa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Nimebahatika kuipita barabara hii, inaonekana ujenzi wake ni wa muda mrefu sana na inajengwa kwa kushangaza maana wanarukaruka vipande hapa lami hapa diversion etc, mbali na kwamba haina economic base kubwa lkn kwisha kwake kutasaidia sana kurahisisha usafiri kati ya kusini na kaskazini na huenda biashara ikaongezeka pia kwa wakazin wa maeneo hayo

kwa sasa ni mateso tu, haiwezekani umbali wa KM 250 TUSAFIRI KWA MASAA 6!!

Mh Plz
 
Magufuli hamasisha vijana wauze viroba vya konyagi barabarani ili kuwaondolea uchovu watumiaji wa barabara hii wanaolalamika kusafiri kilometa 250 tu kwa masaa sita
 
na watu wote waseme na iwe hivyo

masaa 6 ulitumia usafiri gani? maana kuna watu wanasifia kuwa mambo safi sasa hvi
 
Nilikwenda na Urafiki na kurudi na Suoer Blue Bird, yote msaa sita, ukisikiliza story utapotoka, hata mm niliambiwa ni masaa 4 tu lakn cha moto nilikiona
 
viroba tena duh, ndio maana barabara zetu zinachakaa haraka
Magufuli hamasisha vijana wauze viroba vya konyagi barabarani ili kuwaondolea uchovu watumiaji wa barabara hii wanaolalamika kusafiri kilometa 250 tu kwa masaa sita
 
Masaa sita sina uhakika...ikiwa basi la mwafrika linatoka iringa mpaka singida kwa masaa nane we wa dodoma ndo iwe masaa sita?....rejea taarifa zako asee
 
Back
Top Bottom